Search results

  1. B

    Mh. Rais anaposema uwongo na kufanya propaganda ya kuhalalisha usafirishaji wa gesi asilia

    Mh. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete amelihutubia taifa kwa njia ya tv kama ilivyo kawaida yake kila inapofika mwisho wa mwezi, maada ya mwezi huu ilelemea zaidi sakata la gesi asila ya Msimbati Mtwara, ameyaeleza mengi kama vile Kinyelezi haiko Bagamoyo kwao lakini ameniacha hoi alipodanganya kuwa...
  2. B

    Mh. Waziri Mkuu Pinda asomewa LIVE TAMKO la Shura ya Maimamu Mkoa wa Mtwara

    Wadau, Mh. Waziri Mkuu Pinda akiwa amefuatana na waziri wa mambo ya ndani Mh. Mchimbi amekutana na Shura ya maimamu katika jitihada za kutafuta suluhu na wananchi wa Mtwara. Kikao kilianza mida ya saa 11.15 jioni hivi na kumalizika mida ya saa 4:30 usiku katika ukumbi wa VETA Mtwara. Hili...
  3. B

    Tamko la Shura ya Maimam mkoa wa Mtwara kuhusu sakata la gesi asilia

    TAMKO LA SHURA YA MAIMAMU MKOA MTWARA KUHUSU SAKATA LA GESI ASILIA ILIYOPO MSIMBATI –MKOANI MTWARA, TAREHE 18/01/2013. Yaliyomo: Utangulizi Tatizo la Gesi Mtwara Majibu ya Serikali kwa madai ya WanaMtwara na Athari zake Ukweli kuhusu Tatizo la Gesi Mtwara Maoni na Msimamo wa Shura ya Maimam...
Back
Top Bottom