Search results

  1. leipzig

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Nina imani na mama Samia Suluhu, hata hivyo mama amekuwa akimshauri dereva apunguze mwendo ndio maana tukafika hapa
  2. leipzig

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Na kama namba imeandikws ktk mfumo wa lakiri itakuwaje!yaani namba imebinywa kama inavyokuwa ktk vyeti.
  3. leipzig

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Lakini namba iliyoko kwenye kibutu na kwenye karatasi iliyochanwa ni moja!
  4. leipzig

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Jana nimesikia mwanancji kuingiza fedha za kigeni nchini ruksa! Bora tupunguze vipindi vya kufanya uchaguzi iwe kila baada ya miaka miwili ili mateso yasidumu kwa muda mrefu.
  5. leipzig

    Uchaguzi 2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

    Milioni hamsini kila kijiji iko wapi? Kompyuta mpakato kwa kila mwalimu veepi? Hatujasahau?
  6. leipzig

    Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Una maana gani kuja kuyaanika mambo yetu hapa! sikutaki tena katangetange na wengine.
  7. leipzig

    Uchaguzi 2020 CCM na Serikali yake tulikosea. Kwa hili lazima Lissu atupige bao

    Vijana wengi hatujitambui ni bora liende tu!
  8. leipzig

    Matukio makubwa ya uhalifu yaliyowahi kutokea na kusisimua Nchini Tanzania

    Polisi kutekeleza mauaji ya mkuu wa usalama wa taifa jenerali Kombe huko Moshi,sijui kama kuna haki ilitendeka enzi hizo za Mh. Mkapa!
  9. leipzig

    Nahitaji marafiki wa ku-chat nao

    linahbaby una damu ya mvuto,ndani ya muda mfupi uzi ume trend ile mbaya! Je umri ni kigezo kwako?
  10. leipzig

    Umewahi kukuta watu wanakula tunda live?

    Nakumbuka nikiwa shule Tanga mitaa ya Galanosi kuna meneja mmoja wa RRM-/Rural Road Maintenance alikuwa akimzukia mmama moja hivi ambaya hata mimi nilikuwa namkubali ila mshiko ndio sina. Basi siku hiyo jamaa karudishwa na gari la kazini akajitosa dukani kwa huyo mmama na mimi nikaenda pale...
  11. leipzig

    Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

    Tume huru nchi hii haiwezekani, iko mbali kama mbingu na nchi!
  12. leipzig

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

    Lissu anatumia mbinu ya adui yako mtaje kwa jina ili likitokea la kutokea watu wajue, mchawi mpe mwanao alee!
  13. leipzig

    Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

    Kwani usipomtaja mtu ndio hutajua anayezungumzwa ni nani! Kwahiyo unaruhusu yote yasemwe ila tusitajane majina!
  14. leipzig

    Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

    Yaani nchi hii sijui kama itakuja kubadilika,ina watu waoga kuzidi kunguru!
  15. leipzig

    Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

    Kujenga uwanja wa ndege Chato pia ilijadiliwa?
  16. leipzig

    Uchaguzi 2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

    Mtoa maelekezo serikslini ni mmoja tu hao wengine wanafuata,wao hawana tatizo ni wenzetu ila wamebanwa.
  17. leipzig

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

    Kama mpaka hapo hujagundua tatizo liko wapi basi wewe jitafakari tena. Kwanini Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete hawakujilimbikizia mali za umma makwao? Kama Nyerere angetaka kufanya hivyo asingeshindwa lakini alijua bado sehemu nyingi za nchi yetu zina uhitaji muhimu kama maji safi, huduma za...
  18. leipzig

    Azam TV yafuta post zake haraka zilikuwa zikiimuonyesha Tundu Lissu akichukua fomu za Urais NEC Dodoma

    Ni mbaya sana kuwa na nchi yenye watu waoga na wanafiki!
  19. leipzig

    Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

    Siku zote tumasema ili tuwe na mfumo bora wa uongozi ni vyema tukawa na katiba mpya ili hata akija tokea kiongozi machepele katiba hiyo itambana na kushtakiwa.
Back
Top Bottom