Search results

  1. NYANYADO

    Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Kuna shida Sehemu. 1. Nilijiunga Kifurushi cha Kuzuru nchi za Falme za Kiarabu , nilifanikiwa kuongea kwa Siku moja tu , zilizofuata ilikuwa ni chenga simu hazitoki hadi nikarudi nchini pasipo kufurahia huduma niliyolipia. 2. Hii imekuwa ikijirudia , Ukituma pesa kwenda mtandao flani hazifiki...
  2. NYANYADO

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Sijui ila . Juzi kati nimeona Ford Super duty. Pale mitaa ya Kalakata Airport. Ila pia kuna hii gari inaitwa Honda Pilot. Nalo limesimama kulia bata kibongo.
  3. NYANYADO

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Nisamehe mkuu Maghayo kwa Kukusahau. Ila nyie pale Palm tayari mlikwishajipata mnaishi pepo yenu . Kimbembe ni huku uswekeni kwa Wa Pakstani , Wafilipino, Nepal na Wahindi , wa nigeria, Waganda. Mwenyezi MUNGU awanusuru.
  4. NYANYADO

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Natoa Pole kwa Jamaa zangu pale Sharjah, Deira Union , Al sabkha, Gold Souq Gate no 2& 3, Silver Touch, Al madina , Al coniche, Al yazia Plaza, swahili Restaurant, Bila kusahau wapambanaji wote Pale Dubai Mall
  5. NYANYADO

    Epoxy Floor, Material ya Epoxy, Waterproofing

    Gharama yake kwa Sq metre
  6. NYANYADO

    Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

    Ok, Mwenyezi MUNGU akijalia tunakuja
  7. NYANYADO

    Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Sawa na Saa moja jioni mida ya Afrika mashariki?
  8. NYANYADO

    Toyota Landcruiser hardtop ya mwaka 2015 inauzwa

    Hii pale Toyota Dar mpya ni 164M
  9. NYANYADO

    Plot4Sale Kiwanja Nyashishi, Mwanza

    Mbona hapo pembeni kuna dimbwi. Pia kona ya kushoto imepinda
  10. NYANYADO

    Uchimbaji wa visima mashambani kwa ajili ya umwagiliaji

    Kutokana na watu kususia Dola kisa BRICS . Mie juzi nimewalipa milioni 32 kunichimbia kisima hapo Mlndizi
  11. NYANYADO

    Nini sababu za mijimama kupendelea vijana?

    Chochea moto mkalipuke wote
  12. NYANYADO

    Airtel kwenye bando ni wezi wasio na aibu. Nnape hawezi kutusaidi, tufanyeje?

    Wizi sio tu, mpaka uweke bundle. Hata ukiweka Bundle alafu usifaidi kile umelipia nao ni wizi.
  13. NYANYADO

    Airtel kwenye bando ni wezi wasio na aibu. Nnape hawezi kutusaidi, tufanyeje?

    Bora hata hao, Voda ndio imekuwa kichefuchefu Geita. Ukipigiwa /ukipiga hamsikilizani.
  14. NYANYADO

    Hivi kuna mtu ana takwimu ya wahandisi na technians wa umeme Tanzania?

    Haya yote ni matokeo ya kutoajiri watu kwa miaka mingi hapo nyuma. Waliopo wamechoka, mishahara ipo chini, hakuna Motisha, Bora liende. Wanazidiwa kazi. Jaribu kuangalia sekta zote anzia Elimu , Afya, Mawasiliano TTCL, zipo hoi. Ni vile tu Tanesco inagusa maisha ya Kila siku.
  15. NYANYADO

    Natafuta Usafiri wa kusafirisha Mifugo kutoka Karagwe kwenda Dar

    Wasalimie Bunazi, Kashasha Mgana, Omlushaka na Katoro
  16. NYANYADO

    Natafuta Usafiri wa kusafirisha Mifugo kutoka Karagwe kwenda Dar

    Zisogeze hapo igayaza (kyaka) pakia kwenye malori ya Kutoka Uganda kuja Dar
  17. NYANYADO

    Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Hao ni matapeli. Endelea na Ujenzi .
Back
Top Bottom