Tena Mkuu, Msekwa akawa Spika wa kwanza katika Jumuiya ya Madola kukubali kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya VODACOM bila kujali nafasi yake kama mkuu wa mhimili. Disgusting!
Nimeshitushwa na kauli za mara kwa mara za DPP wetu kuhusu ugumu wa kuishitaki kampuni ya KAGODA. Nimeshitushwa zaidi na matamshi yake yaliyonukuliwa na gazeti la Tanzania Daima la Jumapili, Aprili 12, 2009 kuwa: wamiliki wa KAGODA watafunguliwa mashitaka ikiwa itathibitika kuwa kampuni hiyo...
Hatuko fair kumlinganisha Mwakyembe na Rostam. Mwakyembe anabebwa tu na baadhi ya vyombo vya habari kutokana na mvuto wake kama msomi na mwanasiasa. Rostam ni mmiliki mkubwa kupita wote wa vyombo vya habari Tanzania: ana miliki magazeti ya Mtanzania, RAI, Dimba, the African, TAZAMA, Mwananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.