Search results

  1. jebs2002

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Keshajifunza huyo. MSAMEHE, MRUDISHE NA WATOTO WARUDI MAISHA YAENDE MKUU.. YATOSHA
  2. jebs2002

    Mrisho Mpoto anapata tabu sana kutembea peku

    Tapeli tu huyu..
  3. jebs2002

    Kuna ulazima wa kuvaa sare Msibani?

    Wabongo kwa misiba ni hatarii! Fursa kuiba hela, kula, kunywa, kusherehekea, umbeya nk nk... Hatuko busy na maisha, tunatumia muda wetu hovyo hovyo tu... Wache tuzidi kuwa maskini...
  4. jebs2002

    Mbunge Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumfukuza January Makamba Tanesco, amehusika na ufisadi wa kutisha

    Tunachoshangaa mbona wakifisadi, wakivurunda wanaendelea kupewa nafasi zingine serikalini?! Tena nyeti?! Chukuwa chako mapema ndipo wanapoonyesha udhoofu wao...
  5. jebs2002

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Netanyahu hana tofauti na HITLER! IPO SIKU ATAYAJIBU YOTE HAYA...
  6. jebs2002

    Welcome to the World of Philosophical Quotes (Misemo ya Kifalsafa)

    Inafanana na ya mhenga Mzee wetu Reginald Mengi...
  7. jebs2002

    Welcome to the World of Philosophical Quotes (Misemo ya Kifalsafa)

    True. Baba ndio unajenga muelekeo wa familia yako, utakapokosea nawo kwisha habari! Inatuhusu wakina baba hii...
  8. jebs2002

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Hata wasemaje, raia tunayopitia twajuwa Magu kuwashinda wote hawa! Masafari, kujisifu na kumsifia Mwamvua kucha! Hawana mapenzi na raia wala nchi, wako pale kutafuna tu hela ya mlalahoi...
  9. jebs2002

    Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Hawa tuwa Senegalise tu .... Wamejisahau sana, wabinafsi, kujali maslahi yao na familia zao tu... Enough is enough kwa kweli
  10. jebs2002

    Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Hiyo ndio feminism katika ubora wake. Unamuacha, unatafuta mwingine bomba unaongeza bidii ya kutafuta mapeni
  11. jebs2002

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Hahahahahahaha sina mbavu kabisa.... Hahahahahahaha
  12. jebs2002

    Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Na mihogo, ndizi choma, Serengeti ndogo na kubwa, baridi sanaa!
  13. jebs2002

    What's your problems guys? Money or Women?

    Women... Ignore stupidity from other comments bro...
  14. jebs2002

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Akipuliza ile ya Arusha au Morogoro! 🤭😸🤣😹😆😅😂
  15. jebs2002

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    Kuna thread humu ilizungumzia CLOUDSFM kuna kaa uchafu kama haka! Si ajabu Pdiddy alipita pale ....
  16. jebs2002

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    Tuna wasiwasi na Justin Bieber aisee...
  17. jebs2002

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Kwisha habari yake...😂😅😆😹🤣😸🤭
  18. jebs2002

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Siyo mjinga tu, ukubali kupigwa masingi, kunyanyaswa, maneno ya kiburi na kejeli, dharau na ujinga gani sijuwi! Yaani uwe fala kweli kweli!
  19. jebs2002

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nongwa tu! Sasa nani ampe beki tatu UTAMU?! Yamefanyika, yanafanyika na yataendelea kufanyika. Mke wake WIVU tu! 👺👿💢🗯️😠😡😤😾🤬
Back
Top Bottom