Search results

  1. realsam

    INAUZWA Popcorn machine for sale

    Inauzwa tsh. 350,000/ karibuni. Ilala Bungoni. Dar es Salaam. Call 0755803200
  2. realsam

    1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

    1969 MWANADAMU HAkUWEZA KUTUA MWEZINI !! Wamarekani walijitahidi sana kuudanganya Ulimwengu Mwaka 1969 kwa malengo yao binafsi kisiasa na kiuchumi, lakini Ukweli utabaki kuitwa Ukweli. Picha yote ya kwenda Mwezini Mwaka huo ilibuniwa ili kuulaghai Ulimwengu kwa sababu zifuatazo : 1- Mwezini...
  3. realsam

    Sakata la mchanga wa madini, Muhongo na Kafumu mnalifahamu hili?

    MHONGO NA KAFUMU...... Mnaifahamu hii....?? Geologist Abdul ambaye kafanya kazi Migodi ya ACACIA, Bulyanhulu, North Mara ambaye kwa sasa yuko Afrika ya Kusini kama mtaalamu wa makampuni ya huko aliulizwa maswali kuhusu ukweli wa hii sakata la mchanga unaosafirishwa nje ya nchi.Aliandika...
  4. realsam

    Birthday yangu tarehe 29 Feb

    Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na nikipotezea inabidi niwe nasherehekea kila baada ya miaka minne ili ipatikane hyo 29. Kalenda hii...
  5. realsam

    Upe jina mwezi huu wa pili tunaomaliza

    Kutokana na matukio mbalimbali, ni jina gani unaweza kuupa huu mwezi wa 2 ambao uko ukingoni. Karibuni.
  6. realsam

    Mashine ya bisi inauzwa

    NAUZA MASHINE YA BISI, NIPO VINGUNGUTI, NI YANGU MWENYEWE C YA WIZI, IMETUMIKA KWA MIEZI 5 TU. BEI 250,000/= PIGA- 0755803200/0658925969. KARIBUNI............. Specification: Name: Popcorn Machine Model: VBG-1608 Voltage:220V/50HZ Power:1.3kw Machine Size:56*42*68cm Net Weight: 21kg Package...
  7. realsam

    Majibu ya Zitto Kabwe kwa HOJA za Nape Nnauye kuhusu muswada wa Huduma za habari, 2016

    Majibu yangu Kwa HOJA za Nape Nnauye kuhusu muswada wa Huduma za habari, 2016 Ndugu yangu Nape Nnauye amejibu andiko langu nililolitoa Jana kuhusu muswada tajwa. Kama ilivyo ada ya Siasa za kijinga jinga Nape amejibu andiko langu Kwa kunishambulia binafsi na kuweka Hoja zake mbalimbali. Mimi...
Back
Top Bottom