Search results

  1. N

    Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

    Raha ya ndoa ni mume afanye majukumu ya mume na mke afanya majukumu ya mke. Raha ya misha mpeane wote,hasiwe mma ni mtumwa wa mwingine isipkuwa yale yanayomuhusu ama mume au mke. Mke wangu ananifanyia zaidiya haya yaliyotajwa hapa,nami nawajibika kama mume.
  2. N

    Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    hongereni sana wana kilimanjaro,ombi langu kwenu muache wizi basi ili taifa letu liendelee,vinginevyo elimu yenu itaendelea kuto kuwa na faida kwa taifa zima bali faida kwa familia zenu na mkoa wenu,very bad
  3. N

    Tulia nae

    ok! umezungumza kwa hisia thanx kwa ushauri mzuri!
  4. N

    Kuna mkaka kanivutia humu MMU

    Waoooooo~ni nzuri sana hii,umemjib vizuri sn u my favourite one,but r u a male or female?
  5. N

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Wewe boya kama kweli unaamini elimu ndio kigezo cha uongozi bora basi tumpiganie Prof.Lipumba aongoze hii Nchi na tuachane kumpigania Padri Slaa mwenye elimu ya kuungaunga kama huyu Saada.Dj Mbowe alifeli kidato cha sita na bado munampigania kuongoza CDM,mtoeni basi huyo kilaza wenu wanafiki...
  6. N

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Wewe mwenyewe hapo fisini ni mwizi tu,na akija bosi muadilifu utaema huyu jamaa ni noko.Nchi imejaa mafiadi kuanzia mfagizi wa ofisi mpaka Raisi wa nchi.Kazi ya kulalama wakati kila mtu akipewa nafasi anafikiria kuiba tu.Huyu inawezekana alikuwa muadilifu lakini hapo alipowekwa lazima awe...
  7. N

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Tpia CV ya Padri Slaa,DJ Mbowe,Mnyika,Kamanda Lema,Bange Sugu n Mchunga Nguruwe Msigwa kisha ndio tuendelee na mjadala vizuri.Hii ni nchi y wajinga na itaendelea kuongozwa na wajinga kutoka CCM au CDM,na wenye akili kama Balali wakipewa madaraka wanatumia akili zao kutuibia kwa sababu sisi...
  8. N

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    kwani ule mchakato wenu wa kanis katoliki wa kamfanya Nyerere kuwa mtakatifu w kanisa katolii umeishia wapi? Mtu anayepewa utakatifu na kanisa lake kwa kazi mzuri aliyolifanyia kanisa lake kwa kulipenelea unawezaje kumfananisha na mandela aliyeamini binadamu wote ni sawa akaishi hivyo!
  9. N

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    Mpango wa Mungu gani? Fafanu mkuu,maana miongu wapo wengi.Mnatuogopesha makamanda
  10. N

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    kwani chama chenu kunaamiiMungu gani?Mana Miung wapo wngi sana, Msije mkawakaribisha watu kwenye chama kinachoamini Mungu wasomamini wao. Kwa ufupi hiyo kauli mbiu yen tumeanza n Mngu na tunamaliza na Mungu inaonesha namna gani mulivyo wadini mukionozwa na Padri Slaa
  11. N

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    Mpango wa Mungu aliyekufa msalabai kisha akafufuka au unamaanisha mungu gani mkuu? Naomba ufafanuze wako maana wengine hwamuni huyoMungu na weigine hawana mungu kabisa wasije wakaingia mkene kwa kujiunga chama cha mungu aliyekufa msalabai.
  12. N

    Tanzania Dismantles al-Shabaab child indoctrination camp in Tanga region

    Hawa jamaa wana mawazo tu yanayofanana na hao munaowaita magaidi,ukweli hawa ni masikini wa kitanzania waliokosa elimu na kazi za kufanya. Hao wanaoitwa magaidi ni watu wenye akili sana ambao serikali sikuvu ya JMT haiwezi kumbapana nao. Polisi wataishia kuwakata vigenge venye njaa kama hivi ili...
  13. N

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Babuuuu naanzisha Kanisa langu nitakuchagua kuwa Baba Askofu wa kanisa langu. Usijali kanisa langu litaruhusu kuwa na mke na vimada.Pia nitakuomba umchague Mbowe kuwa muweka Hazina wa kanisa na Mzee Ndesamburo na Lowassa kuwa wazee wa kanisa.
  14. N

    Mbowe lazima akubali yeye sio CHADEMA na lazima achunguzwe

    Blazah huu ni ukadawa wa chama tu au maslahi binafsi? Ni swali la kizushi tu!
  15. N

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Ukifikiri kwa kutumia akili za mwenzako ujue utatumika kwa faida ya wenzako mpaka unakufa.Utumwa mbaya kuliko wote ni utumwa wa tumbo na tamaa.
  16. N

    Kupeana vyeo kiundugu na kiswahiba; Hii ndio Demokrasia ya CHADEMA?

    Ukiweli ni kwamba ndani ya CCM undugu umeshakomaa, na CDM nao wanafuata nyayo za CCM. Uenda CDM ikawa mbaya zaidi uko tunakoelekea kwasababu kuna familia zilijitolea kwa hali na mali kuijenga CDM na familia hizi ndizo zenye nguvu ndani ya CDM,ni wenye pesa na elimu ni rahisi kuishika nchi mzima...
  17. N

    Live TBC uzinduzi wa kiwanda cha Saruji Mtwara

    Viongozi wa Serikali ya CCM akili zao kama kuku vile. Zilivyotokea vurugu za kwanza Mtwara wakamiminika viongozi wengi kwenda Mtwara,kipindi hicho hicho wakaja na mabango ya kiwanda cha saruji cha Dangote,wakayatundika kwenye barabara zote za Mtwara. Juzi zimetokea vurugu tena wanakuja na...
  18. N

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    Niliyojitahidi ni yale yanayoendana na Itikadi yako na niliyoweka hisia zaidi ni yale yanayopingana na Itikadi yako. Nani asiyejua kwamba CHADEMA walitumtumia/wanamtumia Padre Slaa ili wapate umaarufu wa kisiasa kwa kutumia historia yake katika kanisa. Kwani hawa CDM wamekoasa mtu mwingine...
  19. N

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    Yako wapi Maisha bora kwa kila Mtanzania tuliyoahidiwa 2005? Ni ngonjera za kisiasa tu za kuwapeleka watu Ikulu ili wakafanye mabo yao,hemu amka wewe mfu wa akili.
Back
Top Bottom