Search results

  1. M

    Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

    Habari wana jamvi, Kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaishi katika mapenzi mwaka mmoja na nusu baada ya hapo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatizo ni nini akajibu yuko busy na mambo ya ki- Mungu. Baadae akaniambia nimpe mda amuulize Mungu kama kweli mimi mtu sahihi kwake...
  2. M

    Umri, jinsia na uhusiano wake kwa siku. Zingatia hili jambo

    Mkuu kuna mama namjua anamiaka zaid ya 40 hajazaa lakin matiti yamesimama utafikiri kitoto cha miaka 13
  3. M

    Nimekutana na huu ujumbe

    kwel kabsa kuna msichana nilimpenda kwa machoz yangu yote. nilimthamin na kumpa nafas ya umalkia wa dunia yangu ya mapenz lakin alichonifanya ilikuwa majuto maana alitumia nafas hyo kuninyanyasa na kunitenda alivyojifikir nililia sana na kudharauliwa na mbaya zaidi alifanya hayo katika kipind...
  4. M

    MAHALI: wazazi wetu tunapenda kuoa tukajenge familia

    salaam wazazi wetu wanapenda sana vijana tuoe na wadada waolewe lakin mahali imekuwa kikwazo maana imebadilika kutoka zawadi mpaka biashara. uchumi wenyewe shida alafu watoto wenu ndo tunaenda kuanza maisha. fikilien upya jaman
  5. M

    Hivi mnazijua sera za CHADEMA?

    Ama kwel wkend imeanza. Vision na mission za maccm ni zip? Fanya comparison btn CDM NA ccm
  6. M

    Ushauri kwa UKAWA, njia pekee ya kuitoa CCM madarakani

    Ungekuwa karbu ningekununulia soda. Thanx very much. You are a great thinker. Please katika mkutano hakikishen utaratibu wa kuapishwa wajumbe wa ukawa na upigaji kura ya waz unarekodiwa na kuambatanishwa wakati wa utumaji hizo kura. VIONGOZ WA UKAWA CHUKUEN HATUA HARAKA.
  7. M

    Kesi ya rasimu ya katiba kutinga mahakama ya rufani Tanzania

    kama mawazo yetu tuliyompatia warioba mchana kweupe na yeye bila hiana akaiwasilisha bila Aibu ccm chin ya sitta wakayachakachua mchana kweupe na ubabe je wataheshimu kura zetu za maoni chin ya kibaraka NEC,TICC~CCM & POLICE CCM?
  8. M

    Hizi Takwimu Zinatuambia Nini Kuhusu Akili Zetu Kama Taifa?

    Mkiwagusa wenye haya mabas nchi itawaka moto
  9. M

    Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

    Mmh, majangaaaa
  10. M

    Hizi tuzo nyingine kwa Kikwete HAPANA!

    Anapongezwa kwa kufanya Tz shamba la bibi kwan wanaompongeza hujichukulia mali zetu kiurahis mno.
  11. M

    Butiku: Kinachofanywa na CCM bunge la Katiba ni utoto

    Le mutuz Nataman urudi ujibu haya maelezo ya mwanaCCM mwenzio kwa hoja. Ukiweza kujibu kwa umakin hasa suala kubadil dini mimi ntatangaza rasmi kurudisha kadi ya CDM.
  12. M

    Katibu na mwenyekiti CHADEMA jimbo la Muleba Kusini ni mizigo

    Viongoz wa Chadema Muleba nzima ni mizingo. HAMNA harakat zozote za chama zinazofanyika huko kwetu chin ya hawa jamaa. As if hamna Uongoz kabisa. Yan nakereka sana jaman
  13. M

    Samwel Sitta: UKAWA wakivimba kichwa,bmk itaangalia uwezekano wa kubadirisha sheria ya theluthimbili

    Six nae kachemka kwel. Ni bunge la Jm tu ndo lenye uwezo wa kubadil sheria ya theruthi mbil na sio yeye. Maskin sitta nae ndo Bmk lishamuua kisiasa maana nae kashakuwa Fisadi wa maoni ya wananchi
  14. M

    CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

    Nawashaur Ccm kwa vile hawatak serikal 3 ambazo ndo maon ya wenye nchi .waende ZANZIBAR wafute ile katiba yao ili turudi kama mwanzo ambapo tulikuwa na Nchi moja yaan TANZANIA na serikal mbili, yaan serikal ya JMT na SMZ na hamna kitu kinachoitwa Tanganyika wala Zanzibar.(hayo ndo maboresho ya...
  15. M

    Utabiri wa Zito Zuberi Kabwe juu ya wizi wa fedha za escrow acc:dochewelle radio.

    mkuu ukitaka kujua tabia ya wazaz(baba na mama) angalia watoto wana behave kivipi? Then utapata jibu. Tatizo la nchi hii ni Rais
  16. M

    Uchaguzi Mwenyekiti Taifa CHADEMA Juni 29, 2014

    vip kuhusu JUNE MWAKAN??? Hii habar ni out dated
  17. M

    Pamoja na ubovu wa kivuko cha Kamanga bado nauli ni 1000/=

    Manajamvi kivuko cha kamanga kinachounganisha mwanza na sengerema kinatoza nauli kubwa ya 1000/= kwa kila abiria japo huduma zake ni mbovu sana. Kijengo cha abiria ni kidogo na chakavu,hakina viti watu wanasimama kwenye kivuri cha mit wakisubir kivuko,vyoo ni vichafu mno japo tunalipia...
  18. M

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Hyo kaz hata prof majimarefu haiwez jaman mnajitafutia magonjwa bure. Mi nimekaa udsm miaka 3 sijawah kuona hao wasomi wa ccm
  19. M

    Kwanini Freeman Mbowe hasafiri na Mke wake kwenye ziara za kitaifa na Kimataifa?

    We mleta mada mbona sijawah ona mr ndovu akiwa na mke wake? Mangula je? Savimbi?
Back
Top Bottom