Search results

  1. Totos Boss

    Heshima kwa baba

    Mara nyingi huonekana Mama ila na baba amejitahidi.
  2. Totos Boss

    GARI SPACIO OLD MODEL

    Wezi wameweza kumuiba ngombe na kumtia ndani ya gari. Ila wamekamatwa baada gari lao kukwama.
  3. Totos Boss

    Mbolea ya kupandia

    Wanaotaka kupanda mbegu mvua hizi, wacha wazirutubishe kwanza hapa.
  4. Totos Boss

    Ajali ya manufaa

    Wengi mtaomba mngekuwepo eneo la ajali.
  5. Totos Boss

    Wanaume tupo wachache sana

    Na idadi inapungua siki hadi siki
  6. Totos Boss

    Ujumbe kuntu

    Huu ni ujumbe wa leo
  7. Totos Boss

    KILIMANI HOUSE

    Hii imekaaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Totos Boss

    Machalii....

    Hawa machalii sijui wamevuta cha wapi!!
  9. Totos Boss

    Umepita hapa?

  10. Totos Boss

    Hapa ni wapi wakuu?

    Katerero vile ipo wapi?
  11. Totos Boss

    Inawezekana no bangi kweli

  12. Totos Boss

    Saluni kwa ajili ya 25. Dec.

  13. Totos Boss

    Naomba ufafanuzi sheria za chaguzi ndogo.

    Habari wana jamvi. Kwanza niwatakie maandalizi mema ya 25. Dec. Kama mada ya hapo juu inavyosomeka naleta kwenu ombi nifafanuliwe muda unaokubalika kisheria chaguzi ndogo kufanyika baada ya Mbunge au Diwani kufariki au kukosekana kwa muwakilishi huyo katika nafasi yake.
  14. Totos Boss

    Hivi no kweli huu msemo?

    Toa mtazamo wako.
  15. Totos Boss

    Tupia neno kwenye hii picha

    Unaonaje?
  16. Totos Boss

    Mungu atuvushe salama.

    Tuombe sana wajameni.
  17. Totos Boss

    Lengo ni kujenga lugha sio kubomoa

    Kuna misemo/nahau za kiswahili nahisi hazina nafasi tena. Hii inatokana na uhalisia wa kizazi na maisha ya sasa. Mfano alie juu mngoje chini/haraka haraka haina baraka, kwa kizazi cha sasa sidhani, mtaka cha uvunguni...... Nao sijui kama Luna kizazi cha kuinama Bali in kuinua kitanda fast a tu...
  18. Totos Boss

    Tuwe makini kuelekea Christmass na mwaka mpya

    Ikiwa tunaelekea kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka, ndugu zangu nawasihi tujiandae pia kukabiliana na majanga ambayo mara nyingi hutokea siku kama hizo ikiwemo ajali za barabarani, kumbi za starehe, kupotea kwa watoto ili furaha isijegeuka misiba.
  19. Totos Boss

    Ugali wa unga wa muhogo unaliwa na mboga gani?

    Nisaidiwe namna nzuri kabisa ya kula ugali wa muhogo. Namaanisha vitoweleo vinavyoendana kabisa kwa chakula hiki.
  20. Totos Boss

    Tuikumbuke 2016

    Wana jamvi tumebakisha Sikh kadhaa kuuaga mwaka 2016. Ikiwa una jambo la firaha au huzuni lililokufika 2016 tuwekee hapa. Liwe la kwako binafsi. 1).05/04/2016 nimepata mtoto wa pili wa kuime hadi sasa anaendelea vizuri.
Back
Top Bottom