Search results

  1. Guma Mlugaluga

    Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

    Kubikiri ni kuumizana tu, sasa uliye naye akitafutwa na aliyembikiri, utafurahi?
  2. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Asante sana Koku
  3. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Haya njoo kwa m16. Kila kitu kipo, panafaa kabisa, sema siku gani nikakuonyeshe. Hata uwe Dalali, mimi sijali, ila njoo na m16
  4. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Umenichekesha sana, yaani hapa wanunuzi wa vitu vikubwa hapa JF hamna, wapo wa simu na laptop tu
  5. Guma Mlugaluga

    93.7 FM Gardner Radio

    Hata mimi kwa kweli wameniacha hoi!
  6. Guma Mlugaluga

    93.7 FM Gardner Radio

    Vumilia tu dada
  7. Guma Mlugaluga

    93.7 FM Gardner Radio

    Vumilia tu dada
  8. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Kalasha nauza plot sio gari, picha wapi na wapi?
  9. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Bwana Legelege hayo matusi sasa. Beep namba hiyo, mimi nakupigia
  10. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Kaka tapeli hawezi kuweka namba za simu, kwa uwa hapo ulipo hata jina langu unaweza kulipata, jifanye unaaka kutuma airtel money, lazima itakwambia unatuma fedha kwa nani! Sijui kama unalifahamu hili. Ila nyie mnaolazimisha bei lazima ni madalali, siku hizi ukijiunga unaongea mpaka basi. Basi...
  11. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Hakika kunapitika, ni njia nzuri tu, na Majumba mazuri mazuri yamejengwa, ukipaona huruki kaka!
  12. Guma Mlugaluga

    Kiwanja kinahitajika

    Kaka kwa maeneo hayo uliyoyataja, sijui kama utapata. Mimi ninacho, Tsh m. 18 mita 25 kwa 45, roughly, kama unaweza nipigie 087001207. Kipo Mbezi kwa Yusufu eneo la Michungwani Kina la ulichosema umeme, barabara etc
  13. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Seriously nakiuza, bei utaambiwa ukikiona mwenyewe. Sitaki watu waogope kumbe kiwanja kizuri sana, na sitaki watu wapapatike kumbe si kionjo chao, atakae kitaka seriously, nitamuonyesha na tuongeee bei
  14. Guma Mlugaluga

    Nauza Plot Mbezi Shamba

    Wandugu, kama kuna mtu anahitaji kiwanja, kipo Mbezi kwa Yusufu, eneo la Michungwani, kama dakika kumi kwa gari. Kama unahitaji au una jamaa anahitaji, basi piga 0787001207. Serious buyers tu wapige. Hakina dalali. Ukubwa m 25x40. Umeme upo nguzo ipo mpakani mwa kiwanja na barabara. Bei maelewano.
  15. Guma Mlugaluga

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Bwana Mkuyati, wasiliana Dr Chichi nae yupo safarini na mkewe mjamzito, atakusaidia. Lakini nyie wakali! Kweli Mkuyati!
  16. Guma Mlugaluga

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Chichi wewe ni Doctor, ungemsaidia kujifngua, na ukaandika historia
  17. Guma Mlugaluga

    PayTrade ya tradecarview

    Tutakuaminije? We bwana acha wizi!
  18. Guma Mlugaluga

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Nani akafunge, alikataka mwenyewe! Kwanza kanaweza kupimwa kajakazito, na unajua wanawake wakiwa wajawazito na mwaka mmoja baada ya kujifungua, kwa kitaalamu huwa wanahesabika wenda wazimu. RIP Kanumba
Back
Top Bottom