Search results

  1. LIKUD

    Tujifunze kudharau mambo

    Uzi bora kabisa wa Karne hongera sana mkuu umeongea kitu kikubwa sana
  2. LIKUD

    Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

    Ndio maana ukizipata unashauriwa kuzitumbua vilivyo usijibanebane. Live ur life to the fullest
  3. LIKUD

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
  4. LIKUD

    Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

    USA is a third world country. Uncivilized people
  5. LIKUD

    Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Weka namba za simu tutoe sadaka
  6. LIKUD

    Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Nyerere 6 -0 Karume.
  7. LIKUD

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Hata wewe hapo umeongea kiofisi ofisi . Yani kama upo darasani na wanafunzi wako vile
  8. LIKUD

    Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Popoma akianza kutukana mni tag tafadhali
  9. LIKUD

    Kukamatwa kwa Furaha Dominick ni rasmi kuwa Vita ya Kuchafuana kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 ndani ya CCM imeanza rasmi

    Tafadhali sana ndugu niombe radhi usinifananishe na vitu vya hovyo hovyo unless otherwise labda wewe ndio popoma mwenyewe na hii ni id yako nyingine
  10. LIKUD

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Mkude ni shabiki wa Yanga lia lia na ndoto zake siku zote ilikuwa ni kuchezea timu yake pendwa ya Yanga kama ilivyo kuwa kwa Athumani China ambae ndoto yake ilikuwa ni kuchezea timu yake pendwa( Simba) ingawa alifanya vizuri sana na Yanga kwa muda mrefu au kama.ilivyo kuwa kwa Mohamed Mwameja...
  11. LIKUD

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Jonas ni shabiki wa Yanga lia lia na sasa hivi tayari ameshaingia kwenye mfumo wa kocha.
  12. LIKUD

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Aende Nachingwea huko kuna mganga anatibu hilo tatizo hata kama umerogwa
  13. LIKUD

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Mimi nilicomment nikasema.huwa naona mwanamke mwenye kufanana na bikira Maria una comment kwa emoji ya mshangao, Why? Then ukauliza sura ya bikira Maria nimeiona wapi nikakujibu ile ya kubuni ya kanisa katoliki then una comment kwa emoji ya masikitiko. Maana ake nini hiyo?
  14. LIKUD

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Wewe jamaa utakuwa na shida wewe sidhani kama upo sawa wewe umetoa Uzi watu wanakujibu vizuri unaanza tena kuwakejeli. Whats up?
  15. LIKUD

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Yes ndo hiyo utotoni tulikuwaga tunaambiana bikira Maria kampakata Yesu.
  16. LIKUD

    Kwa yeyote anayehitaji Chef nipo hapa

    Gharama zako sh ngapi?
Back
Top Bottom