Search results

  1. J

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    unamaanisha zitto ndie pekee aliye kijenga chadema?
  2. J

    Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Wadanganyika nani katuroga? Nchi inaliwa na wenye meno
  3. J

    Vifo vya viongozi vyenye utata

    PRO.JWAN MWAIKUSA,MGIMWA,jaribio la kuwaua MWAKYEMBE NA MWANDOSYA
  4. J

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    unazungumzia zanzibar ipi?ya baada ya kuja sultan?au kabla?au baada ya uhuru?
  5. J

    Huawei ascend g730 for sale

    weka no ya simu tuwasiliane sasa ivi
  6. J

    Mwakalebela bado hujasoma nyakati

    JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU, jembe,Rais wa mbeya wapendavyo kumuita wenyewe ni mkinga kwa kabila akiwa na asili ya mkoa wa Iringa, lakini lililo kuu na mhimu ni mtanzania halisi mwenye akili timamu mwenye maono ya kuwatumikia watz wote bila kujali rangi kabila wala ukanda.UKABILA NI MAWAZO NA...
  7. J

    Mwakalebela bado hujasoma nyakati

    JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU, jembe,Rais wa mbeya wapendavyo kumuita wenyewe ni mkinga kwa kabila akiwa na asili ya mkoa wa Iringa, lakini lililo kuu na mhimu ni mtanzania halisi mwenye akili timamu mwenye maono ya kuwatumikia watz wote bila kujali rangi kabila wala ukanda.UKABILA NI MAWAZO NA...
  8. J

    Jijini Mbeya: Mpango wa usafi ni mzuri ila hamjajipanga, jipangeni kwanza kabla hali haijawa mbaya

    Hivi karibuni mamlaka ya jiji la Mbeya ilibadilisha utaratibu wa wananchi kukusanya taka kwenye madampo ambao ulikuwa kero kubwa na kuweka utaratibu wa gari la halmashauri kupita kwa zamu mitaani kukusanya taka kwa utaratibu wa wananchi kupangiwa ratiba na kuzisogeza kwenye kituo cha kupakilia...
  9. J

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kutoa maji Zia Victoria siyo yeye aliyeplani.kazi hiyo ni mpango kazi Wa watalaam wa wizara husika wakisukumwa name naibu waziri Dialo name kuidhinishwa name baraza la mwaziri chin ya sumaye
  10. J

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Tunaomba kutajiwa orodha ya maamuzi yake magumu aliyachukua akiwa Ofisi za umma.maana tunasikia tu kipindi hiki.
  11. J

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    Tunapo karibia uchaguzi Mkuu Wa mwaka huu tunaona wapambe rasmi name wasio rasmi wanazidi kupigana vikumbo ,kila kundi likimwaga sifa za kweli na zisizo za kweli kupitia magazeti,radio name mitandao ya kijamii imradi kumuuza MTU wao aaminike kwa watanzania .miradi hii imeshika kasi. Leo...
  12. J

    Hamis Kigwangala kuhamia CHADEMA

    acha mawazo mgando nan kakudanganya et kila aliyezaliwa kabla ya kuanza mfumo wa vyama vingi wote ni ccm!labda kwenu.
  13. J

    Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

    zitto ni kikwazo kikubwa kufikia kuiondoa ccm.atumbie kwanza ni akina nani waliolamba hela za escrow kupitia bank ya stanbic na atuambie majina ya walioficha hela uko uswisi.tuambie kwa nini kwenye hajaweka waz majina na acc zao
  14. J

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom kwa nini wilaya ya rungwe hasa tukuyu mjini network tatizo?hasa upande wa data? Hamna 3g.
Back
Top Bottom