Search results

  1. N

    Natafuta Hiace ya kununua Dar!

    Write your reply...Weka picha
  2. N

    Nauza Nissan Bluebird

    Write your reply...Gari nzuri sana ila kwa hiyo bei mkuu! ikifika 8mil nicheck kwa 0767932386 tumalize biashara.
  3. N

    Nina Bajeti ya Mil 8, mwenye gari voltz namba D tuwasiliane

    Thanx kwa kunitia moyo, naamini ntapata
  4. N

    Nina Bajeti ya Mil 8, mwenye gari voltz namba D tuwasiliane

    Habari wana JF, nimejichanga na kufikisha kiasi cha fedha tajwa hapo juu. Naishi Mwanza mwenye kuuza hilo gari tuwasiliane kwa simu no 0767932386. Popote litakapo patikana ndani ya nchi kwa bajeti hiyo tutafanya biashara.
  5. N

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ngosaao fzaoNglia maskini
  6. N

    Raba kali ya Hyperdunk (nike) inauzwa

    Aisee jombaaa, hata unipe bure hiyo sivai.
  7. N

    Ushauri kuhusu usafiri wa Mwanza to Dar

    Naomba ushauri ni basi gani nitumie kusafiria kutoka Mwanza kwenda Dar.
  8. N

    Msaada: Mwanangu anaugua vipele kama vijipu, nini tatizo?

    Jamani wajuvi wa haya mambo msaidieni mzazi mwenzetu!
  9. N

    Nani atakuwa mwenyeji wangu hu?

    Haya wapendwa, naomba mwenyeji anipokee na kunielekeza kanuni, sheria na taratibu za humu mjengoni.
  10. N

    Laptop inahitajika

    una bajeti ya sh ngapi? nichek kwa cm no 0752796133 kama upo serious.Nipo Mwanza!
  11. N

    Laptop inahitajika haraka

    una bajeti ya sh ngapi? nichek kwa cm no 0752796133 kama upo serious.
  12. N

    Dada yangu alinitongoza nikagoma sasa nampenda yeye

    Haya ni matunda ya Murugo na elimu yake! Jamani murugo kwanini umetufanyia hv kwa vijana wetu?
  13. N

    Hii mistari kwenye wowowo

    huwa naipenda sn kwa my wife wangu, nikiichungulia huniamshia hisia za ku do!
  14. N

    Hongera sana mke wangu kunizalia mtoto wa kike!

    Duh! Mnazidi kunifurahisha wanajamvi.
  15. N

    Hongera sana mke wangu kunizalia mtoto wa kike!

    Nashukuru sana, hii ni baraka ya mungu!
  16. N

    Hongera sana mke wangu kunizalia mtoto wa kike!

    Namshukuru mwenyezi mungu kwa kumjalia mke wangu kujifungua salama na kunizalia mtoto wa kike, hii ni furaha ya ajabu kwani huyu ni mwanangu wa kwanza na ni baraka kutoka kwa mungu! asante sana mungu pia pongezi sana kwa mke wangu kipenzi.
  17. N

    Tatizo la kizunguzungu kwa mama mjamzito

    Habari wa dau, Naomba wataalamu mnijuze chanzo cha kizunguzungu cha mara kwa mara kwa mama mjamzito, mke wangu anasumbuliwa mara kwa mara na hali hii, ana ujauzito wa miezi takribani sita unakimbilia wa 7. Mwenye kujua chanzo na tiba ya maradhi haya anijuze. Nashukuru na mungu awabariki.
  18. N

    Laptops zinahitajika ziwe i5 au i7

    Acer vp? Imetumika miezi 5 toka inunuliwe.
Back
Top Bottom