Tunakushukuru umeandika vizuri sana na lazima utakuwa Mwalimu wa kiswahili maana ulivyozipanga hoja inatakiwa aje mwalimu mwingine kuzipangua. Lakini kwa sisi ambao sio waalimu lazima tuguseguse baadhi ya maeneo tu. Nimekuwa na maswali kadhaa kama ifuatavyo.
1.Waalimu ndio mnaotufundisha kila...
Umejitahidi kutunga hii hadithi ni nzuri na inasisimua sana ila mwisho hujamalizia vizuri ili tujue ana mimba huyo anaependa mambo matamu kila siku? kama anayo hoja zetu zitakuwa tofauti iwapo atakuwa si mjamzito.
lakini katika yote hayo tupo duniani kutoshelezana kupenda mambo hayo kisukumbue...
Wanaume wanakufa mapema sababu ni watoaji na wanawake wanachelewa kufa sababu ni wapokeaji
pia wanaume wengi wana siri nyingi sana vifuani mwao wakati wanawake wengi hawaweki siri yoyote kifuani mwake. wanaume wengi hubeba mambo mengi sana wakati wanawake wengi hawabebi jambo lolote zaidi ya...
Unajua Matajiri woote Dunani walitatua shida za watu, kwa hiyo na wewe unaweza kutoka kwa kutatua shida za watu. Mfano watu wana njaa unawauzia chakula, watu wanatembea uchi unawauzia mavazi,watu wanashida ya mbolea unawauzia hitaji lao.
Sasa kuhusu 30m kupata faida ya 5m inategemea uko wapi na...
1)Jitahidi sana asijue kipato chako hata kwa bahati mbaya.
2)Uwe na msimamo mkali hata kama msimamo huo unakughalimu.
3)Usile chakula alichopika Beki tatu maana ukila tu ujue ipo siku utamla na yeye.
4)Fanya dhambi zozote zile lkn uzijue wewe na Mungu wako tu Mke asijue hata kidogo.
Rais wa Ufaransa alimuoa Mwalimu wake wa Hesabu alipokuwa Sekondari. Mapenzi yana nguvu sana na mapenzi yana sababu nzito kwa mtazamo wa yule anayependa. mfano wewe unaweza kutoa sababu kuwa anajua sana kulea. Atamlea mwanao atakulea na wewe pia.
Siku nyingine ukiuliza swali usitoe majibu. Uliza swali tulia tukujibu.
Kunazo sababu tatu za kuoa.
1. Ni agizo. Tumeagizwa hivyo na Mungu. Kila Dini imeagiza hivyo.
2. Kutoshelezana. Kila Dini inakataza zinaa. Mkioana mtatoshelezana.
3. Kuzaa Ili kuendeleza ukoo. Usipozaa ukoo unaishia kwako.
Wanasema Tunaomba historia yako hilo la kwanza
Tunaomba hobe yako hilo la pili
Tunaomba tujue uzoefu wako ktk kazi unavyoomba hillo tatu
Na mengine mengi tu
Watakuja wanaojua kujibu watakujibu utawaelewa lakini mimi naliona kosa la Malasusa katika jambo moja tu nalo ni UWAJIBIKAJI WA PAMOJA! Ukishakuwa kiongozi utafanya mambo unayoyapenda na usiyoyapenda! Kosa lipo hapo!!
Umejitahidi kuandika hii FASIHI SIMULIZI lakini ushahidi ungekuwepo tungesema neno kwa sasa pole kanunue kamera nyingine!!
NB: Ila wewe ni mtunzi mzuri!!
Kweli kabisa naunga mkono hoja! nimewahi kutoka Dar kwa ndege hadi Zanzibar Niliondoka dar saa 3 asbh nilifika Znz nilifanya kazi zilizonipeleka Znz niligeuza saa nane mchana siku hiyohiyo aliyenileta Airport Dar asbh ile alikuwa bado hajafika nyumbani kimara nikamwambia geuza uje unichukue...
T B Joshua alijua kilichotokea na alifunguliwa na Mungu yale yote aliyoyatabiri mapema. Kuna watu wameuchezea mpango wa Mungu kwa Tanzania Wataadhibiwa na watakapoadhibiwa watajua kuwa adhabu hii ni jambao hili. Mungu hasemi uongo kwa Nabii wake! Tusubiri kipigo cha adhabu kwa waliovuruga mpango...
Kilichofanywa na wabunge wa UKAWA ni sahihi na aibu inakwenda kwa anaeng'ang'ania madaraka. Ukawa nimewakubari. na kwa hili sijui wahisani kama watatia mguu hapa bongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.