Search results

  1. kibaizi kiki

    Channel 10 na makosa kwenye taarifa za habari

    Kampuni hii imekuwa kwenye utangazaji wa tv kwa muda mrefu sasa. Lakini pamoja na uwezo mkubwa ya kuyafikia maeneo mengi na kutoa taarifa nzuri kwa watanzania, wana tatizo la kutokuandika majina ya watu wanaowaonyesha aidha wakati wakiwahoji ama kuchukua habari zao. Kama mtazamaji umeikuta...
  2. kibaizi kiki

    Amiri Jeshi Mkuu mlemavu wa miguu

    Natambua katiba ya nchi ya sasa na hata rasimu ya pili ya katiba inatambua kuwa rais wa nchi ndiye atakua amiri jeshi mkuu. Na moja wapo ya matukio baada ya kuapishwa rais na katika matukio mengi ya kitaifa rais ukagua goalie la majeshi yake yote. Naomba wana JF mnisaidie kunielimisha juu ya...
  3. kibaizi kiki

    President kenyatta launches new railway to southern Sudan

    Naangalia hii launching, baada ya kuongea mengi, Kenyatta aamua nae kumrushia vijembe JK akisema aache siasa afikirie maendeleo. Anasema 'Wao wanasema sisi tunavunja wakati tunajenga roads na railways kuunganisha miji ya arusha na moshi sasa kelele za nini'. Sasa tz tunarushiwa madongo na kila...
  4. kibaizi kiki

    Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

    Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua aliweza kupora chochote pasipo kufanywa chochote. Kuna wakati alisaidia wanafunzi kuingia kwenye...
  5. kibaizi kiki

    Rasimu ya katiba na jicho la warioba

    Napata shaka na hadi kufikia kuhoji integrity ya mzee Warioba. Hivi ni kweli haoni jinsi rasimu hii ilivyotekwa kichama na hasa ku-CCM kwani hata mawaziri wa CCM wanatamka wazi juu ya nini wajumbe wa mabaraza wafanye hasa kuhusu hoja ya serikali tatu. Mwanzo alikataa kuwepo kwa uteuzi wa...
Back
Top Bottom