Pia kamteua dada yake kasesera anaeitwa dr subilaga kasesela -kaganda kuwa mjumbe wa bodi ya tfda iliyozundiliwa mwanzoni mwa mwezi aug 2010 huko dodoma.tfda ni mamlaka iliyo chini ya wizara ya afya.
MM, ni kama ulikuwa akilini kwangu,mimi nimejiuliza sana kuhusu hawa wana harakati uelewa wao wa hayo mambo wanayotakiwa kuyapigania,Bunge limefanya sana kazi yake tena nzuri sana na ya kuigwa katika jamii yetu na hapa lazima tumpongeze Mh mzee 6 kwa ujasiri wake wa kusimamia kile ambacho...
RIP mzee wetu mwakawago,nakumbuka alitoa mchango mzuri kwenye kongamano la mwalimu Nyerere foundtion lililofanyika mwishoni mwa mwaka jana amabalo viongozi wetu wengi walilibeza sana.
Mkurugenzi wa AICC Mr Kaale mbona ni mjumbe wa NEC ccm na aliteuliwa na Rais kushika wadhifa huo baada tu ya kuchaguliwa katika NEC kupitia mkoa wa Arusha.Ghasia is playing dirty politics,kama ni waraka uwe kwa watumishi wote kuzingatia maslahi ya Taifa.
GT aaaacha Udaku,wewe unataka tu kumpaka huyu mzee 6 kama ambavyo umekuwa ukifanya kwenye post zako za huko nyuma.
Kabla ya kikao cha CPA kunza mzee Sitta na kamati yake waliitisha kikao na waandishi wa habari akatoa maelezo mazuri sana juu ya ngarama za huu mkutano kuwa ni shs bil 3,kati ya...
HII habari ni ya kweli,Mimi nilifanikiwa kuona utafiti wa baadhi ya wabunge kuhusu huu ufisadi,walikuwa na Dossier ya nguvu kuhusu hili na hizi taarifa zimeshaanza kufanyiwa kazi na wabunge kwa kuanzia tu Documents zote zimeshapelekwa kwa waziri mkuu kwa aushauri na kama hatachukua hatua...
Ni kweli muungwana ni mgonjwa anasumbuliwa na ninadhani ni tatizo la NERVE katika sehemu za medula oblangata(nerve compression) kwa lugha ya kitaalam, na kwa taarifa nilizonazo baada ya kuanguka pale jangwani wakati anamalizia kampeni zake za Urais 2005 alipata kutibiwa na Daktari mmoja huko...
Uuuuuuwiiii,kweli sisi ni wadanganyika,hawa wana sisiemu wa tabora kwanini hawakumzomea huyu makamba?kwa kweli hainiingi akilini.
Ni huyu huyu makamba alieamrisha ccm mkoa wasimpokee sitta alipotoka nec leo bila aibu anakwenda kujiosha.ningemuona mtu wa maana kama angemuomba sitta msamaha...
Huyu mzee yuko nyumbani kwake Kigamboni,anahudumiwa kama kawaida ya wastahaafu,walinzi na matibabu na Serikali ya Jamhuri,anaugua muda mrefu sana prostate cancer na Zaidi anasumbuliwa sana na macho,nadhani hata haoni kabisa.
Spika wa bunge amewasili mjini Urambo majira ya alasiri akitokea Tabora ambako alitua na ngege ya pricision iliyotokea Dar.Mjini Tabora alipokelewa na wanafamilia.
Baada ya mapumziko ya muda alianza safari ya kuelekea Urambo,kama kilomita 20 kutoka Urambo ndipo yalipoanza maandamano ya kumpokea...
Ni kweli viongozi wa chama wa mkoa wamepigiwa simu na fisadi makamba na kuwaonya kushiriki katika mapokezi hayo na kutotumia hela yoyote ya chama kwa shughuli hiyo,mwenyekiti wa chama ameshawasiliana na sitta na kumtaarifu juu ya hilo na kumwonda radhi kuwa hatakuwepo ila wako pamoja katika...
RA ajibu hoja kuhusu KAGODA na RICHMOND, asitumie hela zetu alizoiba kutugawa,wale wananchi wa Igunga maskini anawalaghai kwa hizo hela ,aitishe maandamano Dar ,au aende mwembe yanga kama alivyofanya Dr Slaa ndo nitajua kweli ye mwanaume,Anamuonya Mengi yeye kama nani?Hao wabunge waliozunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.