Ila ni kweli Tabata imehamia Sinza. Naona hata Dully Sykes enzi hizo za kilele cha classic Bongo Fleva alikuwaga Sinza ila siku hizi kahamishia studio Tabata Kimanga.
Acha kumfananisha kabisa huyu na Mtikila. Mtikila alikuwa anafungua kesi zenye maslahi kwa umma. Kesi kama za kutaka mgombea binafsi. Kesi kama ya kuidai serikali fidia kwa kumfungia mahabusu Ijumaa na kumtoa Jumatatu kwa madai ya kwamba Jumamosi na Jumapili mahakama hazifanyi kazi, na...
Jifunze kwa Freeman Mbowe jinsi alivyoifanya Club Billicanas kuwa hot cake kwa miaka zaidi ya 20. Ni kuzaliwa upya kila baada ya muda fulani. Baa mpya ikizaliwa, na wewe ya kwako ifanyie renovation. Badilisha mandhari iwe mpya. Na muhimu kabisa ajiri wahudumu warembo.
Mtoa post nenda huko alikotoka Lulu (Marangu) utachanganyikiwa. Yaani kule Lulu ni wa kawaida kabisa. Kuna vifaa hatari.
Nikisema hatari namaanisha hatari kwelikweli.
Hahahaaaa... hakuna dili serikalini ndo maana. Watu wamekaa miaka miwili bila kusafiri. Ila enzi za Kikwete ilikuwa kusoma dili upate ajira serikalini upige dili za posho, rushwa na nyinginezo.
DW ni wapuuzi tu. Walishaonesha upuuzi wao msimu wa kampeni walipofanya mchezo kama wa Ben Saatisa kwa mtangazaji wao yule wa kike wa Zanzibar.
Ni bora wahangaike na Kansela wao Anjela anayeivuruga Ujerumani kwa kuruhusu wahamiaji zaidi ya milioni moja kuingia nchini humo.
Bwana Lumumba hivi unadhani una taarifa zaidi kuliko Rais? Au una akili sana kuliko wachumi waliobobea serikalini? Unaelewa Rais kaongea nini haswa? Au ulitaka Rais aanze kutoa mhadhara wa kiuchumi wa jinsi pesa inavyofichwa na inavyochuliwa kwenye hotuba yake fupi?
Mnaosema kavunja katiba nendeni mkafungue kesi ya kikatiba. Yaani lichama likubwa kama CHADEMA mnashindwa na mtu mmoja kama Mtikila ambaye alikuwa haleti siasa uchwara. Yeye alikuwa anaenda kufungua kesi za kikatiba ili kuprove point yake.
Mengine alishasema Mkapa kuhusu Upumbavu na Ulofa...
CHADEMA hebu oneni wabunge wa CCM walichoandika kwenye madawati yaliyotengenezwa kwa pesa za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo:
(1) Mbunge VENANCE MWAMOTO apokea Madawati ya Mfuko wa Jimbo la KILOLO - Habari 360
(2) http://www.hakingowi.com/2014/01/taswirambunge-wa-jimbo-la-temeke-ccm.html
Mahakama ya Mafisadi ni Mahakama ya wote. Kwa maana ya kwamba sheria zake ni zile zinazotungwa na Bunge. Tofauti na Mahakama ya Kadhi ambayo sheria zake ni za kwenye Quran. Quran haiwezi kujadiliwa Bungeni. Mara ya mwisho walipojaribu kujadili Mahakama ya Kadhi bungeni, wabunge waislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.