Search results

  1. J

    Mwalimu wa Hesabu Form 4 Kibosho Girls Atafelisha Watoto Mwaka huu 2014

    Ndugu wana jamvi, Mimi kama mzazi mwenye mtoto anayesoma Shule ya Sekondari ya wasichana Kibosho, nina wasiwasi sana na ufaulu wa watoto kwa somo la hesabu kidato cha nne mwaka huu 2014. Matokeo ya watoto waliopo kidato cha nne mwaka huu yamekuwa hayaridhishi kwa kipindi cha miaka mitatu...
  2. J

    Qatar hawataki ushirikiano na Tanzania!

    Wana jamvi. Nafuatilia hotuba ya waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Kagasheki. Anasema hivi: Serikali iliunda tume (timu) ya kufuatilia masuala ya utoroshaji wa wanyamapori hai kwenda Qatar. Tume hiyo ilitakiwa kuwa imekwenda huko tangu januari mwaka huu na hawajaenda kwasababu Qatar...
Back
Top Bottom