Search results

  1. J

    Ombi Maalum: Rais Magufuli sasa unda timu huru ya wakemia kuchunguza jambo hili

    Rais wangu Dr. Magufuli sasa unda timu maalum ili kupata ufumbuzi wa suala hili Kati ya Mei na Julai mwaka huu kulitokea rapsha kati ya Waziri wa Kilimo, Katibu Mkuu Kilimo na Taasisi inayohusika na Udhibiti wa Matumizi ya Viuatilifu hapa nchini (pesticide management and control in Tanzania)...
  2. J

    Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

    Profesa Buchwe napenda kukupongeza kwa dhati kabisa kwa kuteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TIB. Sina wasiwasi na weledi, utendaji wako na taaluma yako ndani ya nchi hii. Tanzania inajivunia kuwa na Profesa wa Chemistry ambaye amewahi kumsimamia (supervise) mwanafunzi wa PhD katika...
  3. J

    Chasaka/kyasaka and its implication

    Wanajamvi, Hili jambo limekaeje? Wewe ni mwanaume wa kabila ingine umeoa uchagani. Ukweni unajulikana kama chasaka, watoto uliozaa na mkeo wa kichaga wanakuwa regarded kama watoto wa chasaka na huenda wanajulikana kama minivyasaka! Ukiangalia kwa jicho la ndani hili jambo linaweza kupunguza...
Back
Top Bottom