Search results

  1. N

    Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

    Aombee msamaha kwa lipi? Narudia weww ni mmojawapo unayetumika kama si kutumiwa au unajipigia debe. Wagombea wangapi walipita bila kupingwa?mbona huwasemei nao wajiuzulu?? Unataka kuivuruga Seekali na Chama cha Mapinduzi. Kaa ufanye kazi acha kupiga majungu. Mheshimiwa Rais Mama Samia anaenda...
  2. N

    Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

    Kamundu! Bila shaka wewe ni mmojawao unaotumika au kujipigia debe. Be objective not subjective. Unakumbusha mambo yaliyopita ili iweje? Mh.Waziri Mkuu hana kosa gani hapo mgombea kama aliingia mitini? Leta ushahidi sio kutumiwa na wapenda madaraka. Mungu akusaidie uache chuki binafsi
  3. N

    Kasimu Majaliwa hutakiwi kusema chochote kuhusu Demokrasia, huna sifa hiyo

    Wewe una chuki binafsi kama aiyo kutumwa au kutumikishwa. Mwa ufupi huo ni ukihadi unaoufanya. Waache Viongozi wetu wafanye kazi. Period!
  4. N

    Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Mwandishi una chuki binafsi na Mheshimiwa Waziri Mkuu na Serikali ya Mh. Samia. Hoja zako zote zimejikita kwenye chuki. Na hii inaonyesha umetumwa kama si kutumika. Serikali ilijitahidi kwa ufuatiliaji na kila mtu aliona . Hicho kitengo cha maafa unajua kazi zake? Na unajua kilianzishwa kwa...
  5. N

    Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

    Mkuu, nadhani Dhana nzima ya maendeleo labda haieleweki miongoni mwetu. Hizo taa kama zinatakiwakuwekwa kwenye maendeleo ya sehemu zenye utoshelezi wa sekta za Afya,Elimu n.k. Je sehemu zilizopo mjini zenye taa zimejitosheleza katika nyanja hizo? Hakuna upungufu? Je hizo taa zinahusiana na...
  6. N

    Mgogoro Ngorongoro: Gazeti la The Guardian, mmelipwa au ni kujitoa ufahamu?

    Hawa waandishi wa siku hizi njaa tupu. Inakuwaje mwandishi aandike story tofauti na asichukuliwe hatua na mabods wake wa gazeti? Unapotoshaje kauli ya mmojawapo wa Viongozi wakuu wa nchi wakae kimya? Guardian mna matatizo. Labda mwandishi naye anatoka Jamie hiyo hiyo iliyoko hifadhini...
  7. N

    Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

    Sheria ya wapi hiyo? Tutajie inayosema ili kijiji kiwe na sifa ya kuwa hivyo ni kutokuwq na taa????
  8. N

    Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

    Watanzania ifike mahala tuwe na uelewa na tuache unafiki. Mh. Waziri Mkuu hapo amekejeli nini? Dunia ya leo ndo anayoiongelea. Maendeleo yawe sawasawa. Hakuna kusema hiki ni cha mjini au hiki cha kijijini. Binadamu wote ni sawa. Ifike mahali tuunge mkono juhudi z Serikali chini ya Mh...
  9. N

    Jafo anaweza kuwa ndiye waziri mbovu na kituko zaidi wa TAMISEMI tangu nchi hii ipate uhuru

    Huyu Erythrocites ni kiazi kweli kweli. Ana chuki binafsi kama sio katumwa . Waziri Jafo na Familia yake wanahusikaje na Kanuni za uchaguzi? Hao wanaokutuma wanapoteza muda . Kumbuka huyo ni Waziri mwenye dhamana tu. Masuala mengine ni ya Serikali. Umepotea njia kumchafua Waziri Jafo...
  10. N

  11. N

  12. N

    Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Dstv ni matapeli siku hizi. Wanatangaza promosheni ya offer yamiezi miwili kwa kuongeza hela ilishalipwa hata hiyo offer hawakupi na huku umelipia hela nyingi zaidi ya kifurushi unachotumia. Ukiwapigia wanazuga wanaishia kusema tunashughulikia halafu wanaingia mitini.wameniboa sana. Halafu...
  13. N

    Watu kama Mkuu wa Mkoa huyu ni hatari sana ukiwa unafanya nao kazi. Hawaoni hasara kukuharibia

    Sijasema mungu, nimesema Mungu. Tofautisha hayo maneno
  14. N

    Watu kama Mkuu wa Mkoa huyu ni hatari sana ukiwa unafanya nao kazi. Hawaoni hasara kukuharibia

    RC rugimbana, ni muungwana sana anajitambua, amelelewa katika maadili na wazazi wake mnataka akengeuke kwasababu ya maneno yenu. ? Nyie kama hamkulelewa kwa njia sahihi msitake wengine waige tabia zenu za ajabu ajabu. mleta mada hauna point katika hili. Zaidi ya majungu na fitina. RC huyu ana...
  15. N

    Rais Magufuli, mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa kulikoni ukamchagua kuwa Waziri Mkuu?

    Mleta Mada ni mnafiki, Waziri Mkuu siyo mtu wa makundi, na siyo mnafiki kama huyo Mleta mada. anajitambua Waziri Mkuu wetu, na Mheshimiwa Rais Magufuli yuko makini sana. Mleta mada hauna adabu! Unataka kufinitisha tu.
  16. N

    Rais Magufuli, mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa kulikoni ukamchagua kuwa Waziri Mkuu?

    Mleta Mada ni mnafiki, Waziri Mkuu siyo mtu wa makundi, na siyo mnafiki kama huyo Mleta mada. Anajitambua Waziri Mkuu wetu, na Mheshimiwa Rais, ni mtu makini ambaye alifanya uteuzi huu kwa uhakika na kujiamini. Tuache majungu
  17. N

    Barabara ya kuelekea Rusumo

    Kweli kabisa
  18. N

    Barabara ya kuelekea Rusumo

    Mh Rais. Mulika barabara ya Kahama kwenda Napenda nichukue fursa hii kueleza umuhimu wa barabara ya kuelekea Rusumo, hii barabara ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa,na hasa kwa nchi jirani ya Rwanda ambako inaelekea. Barabara hii kuanzia Bukombe imeharibika sana ni kama mahandaki tu, na...
  19. N

    Mh Rais. Mulika barabara ya Kahama kwenda Rusumo

    #1 A moment ago Napenda nichukue fursa hii kueleza umuhimu wa barabara ya kuelekea Rusumo, hii barabara ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa,na hasa kwa nchi jirani ya Rwanda ambako inaelekea. Barabara hii kuanzia Bukombe imeharibika sana ni kama mahandaki tu, na hivyo kuharibu magari yetu...
Back
Top Bottom