Search results

  1. U

    Magufuli tumbua jipu mahakama ya Mbeya

    wakati wa kuhutubia mahakama na kutoa hela nyingi kuboresha mahakama, magufuli alimtaka othman chande atumbue mahakimu wala rushwa na wasio na maadili. suala hili halijafanya kazi katika mahakama, hasa mahakimu mkazi na wilaya. pale mbeya kuna hakimu mmoja anaitwa MTEITE, ni hakimu mkuu wa mkoa...
  2. U

    Magufuli kupiga mbizi Kigamboni kuomba kura mwaka huu

    Kaeni mkao wa kula.
  3. U

    Wachungaji wa kilokole hawana umoja kabisa

    YAANI just kwa kuangalia sakata la gwajima, na inavyosemekana leo ameambiwa aende akalete hati ya usajili wa kanisa lake, hiyo wanamfanyia psychological torture mbaya sana na wanataka kumpoteza mapema kabisa afe kabisa. Ajabu yake ni kwamba, wachungaji wenzie wa makanisa ya kilokole na hayo...
  4. U

    Tanzania inunue hii kujiandaa na matukio kwa JWTZ

    Nimeperuzi nyuzi nyingi nimeona nchi yetu iko juu sana, at least top 30 (to be fair, hatuwezi kuwa wakwanza) duniani kwa most dangerous special forces in the world, especially baada ya kuwasambaratisha M23 waliokuwa wametupiga mkwara kuwa watatumaliza na walisaidiwa na rwanda. nchi nyingine...
  5. U

    Braza katoka mbaliiiiii! alishauza mitumba.

    hapa akiuza mitumba iringa mjini. hapa alikuwa anachumba mchumba aliyekuja kuwa mke wake wa watoto sita. hapa akiwa mcheza mpira, aliyevaa nyekundu. hapa akijaribu ubunge mara ya kwanza akiwa na mzee mrema. alikuja kumpiga chini kajiunga na peoplessssss ameshapata ubunge anapambana na...
  6. U

    TANZIA Wakili wa serikali Godfrey Wambari hatunaye tena!

    ni ndugu yangu. RIP WAMBARI.
  7. U

    Mashehe wawajibu Maaskoro na Serikali ya CCM

    HABARI KUBWA LEO.NI VITA MAASKOFU NA MASHEHE,WAISLAM WATOA MASHARTI MAZITO KWA KIKWETE,WAIRUSHIA KOMBORA BWAKWATA,SOMA HAPA KUJUA Pich ani niNaibu Katibu Mkuu Taasisi ya Kiislam nchini Sheikh Rajab Katimba Akuzungumza na wanahabali leo NA KAROLI VINSENT TAASISI ya dini ya Kiislam...
  8. U

    Mmiliki wa shule Paradigms na diwani aburuzwa mahakamani

    Nimeikuta hii sehemu watu wanamjadili, mmiliki wa shule za sekondari Paradigms za Kimara ambaye pia alishagombea na kuwa diwani Kimara kupitia CCM, ameburuzwa mahakamani kwa wizi wa umeme wenye thamani ya mamilioni ya pesa. Inakuwaje diwani mzima anaiibia serikali kupitia TANESCO? Wapambe wake...
  9. U

    Wafugaji na wakulima wanaharibu ardhi kwa kuleta jangwa

    1. WAKULIMA wanavamiwa, na ni masikini hawana uwezo kama wafugaji, mashamba yao yalalishwa ng'ombe, wakiongea wanaambia 'NYAMAZENI NYIE MASIKINI" hamjui kama sisi ndio tunaowalisha nyama? 2. Mtu anatoka zake huko shinyanga, arusha n.k anakuja morogoro ananikuta mimi nina mashamba yangu ya...
  10. U

    Urasimu Mafunzo ya ADO TFDA, Serikali huwa haioni?

    Nusu ya holders wa vyeti vya kuuzia madawa TFDA hawajapata vyeti hivyo kiuhalali, pamoja na kwamba majina yao kule TFDA yanaonyeshwa kwenye orodha kuwa walihudhuria eneo fulani mafunzo ya kutoa dawa kwenye haya maduka yetu ya madawa. nilikuwa namtafutia mdogo wangu nafasi kusoma mafunzo hayo...
  11. U

    Werema na Masaju wameifanyia nini ofisi yao?

    ofisi hiyo ina watu wengi ambao hawajui sheria, wanashindwa kesi kila siku.
  12. U

    FDLR negotiation inevitable

    nimeangalia kwa makini youtube, jinsi FDLR wanavyoishi msitu wa congo, nimegundua ni watu wengi sana na jeshi lao ni kubwa kuliko hata lile la kagame alipokuwa msituni. to be frank, i have seen children, so many children who are not genocidors at all, aged 0yrs to 15, and substantial group of...
  13. U

    Mwanaume kuwa na mapozi ya kike

    kipindi cha NIRVANA kuna mambo mengi nimeyaona mle, hivi inakuwaje mwanaume kabisa unakuwa na mapozi ya kidemudemu? kuna alyewahi angalia kipindi cha nirvana east africa tv (channel five)?
  14. U

    Hivi Cheyo bwana mapesa ni CCM au mpinzani?

    kati ya vitu ambavyo huwa vinakuja kunikatisha tamaa kuhusu vyama vya siasa ni pale ninapowaamini watu wa upinzani halafu nakuja kustuka siku moja walikua wanatumika na ccm. nikianza na zitto zuberi kabwe nilimwamini sana na kumsifia lakini simwelewi. nikija kwa cheyo jana kamtukana mzee...
  15. U

    Hakimu Katemana ahujumu tena kesi ya TRA

    nimeichomoa kwenye gazeti kama ilivyo, tafadhali, naomba Maslahi ya nchi yatangulie
  16. U

    Kwanini TAKUKURU hawatakiwi kuendesha kesi

    kwanini pccb wasiachiwe kuendesha kesi zao, hivi wanaoelewa hili mnasemaje?
  17. U

    single women wa kustarehe naye

    asiwe mnene umri wowote mrefu ni bora mimi ni mrefu, sina kitambi, nina pesa zangu, watoto ninao, nataka wa kustarehe naye tu sio kuoa. karibu mwenye nia ani pm.
  18. U

    TMT ya Lwekaza fisadi anasoma risala!

    who is this guy anayetoa milion 50 kwa wasanii,
  19. U

    MISHAHARA YA AUGUST sector ya umma tayari au bado wandugu?

    nimepita tawi moja la NMB hapa mtwara, kuna foleni ndefu utafikiri wanaenda kwenye interview, nimeamini kweli watz wengi wanaishi kwa mishahara.no wonder watu wengi wakistaafu wanakufa mapema.
Back
Top Bottom