Search results

  1. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Kubali kuingia mkataba na Azam media upate pesa ya kusajili wachezaji wanaoeleweka au Tumieni zile 20B kununua wachezaji wanaoeleweka kwenye dirisha dogo na sio kuzidiwa kete na Yanga kwa wachezaji kama Aucho na Djuma. Acha ubahili,uza uchafu wa mabasi yote,nunua basi moja la maana na Coaster...
  2. K

    Haya mabus ya Simba mbona bodi zake za kishamba kushamba tu? Huwa hamuoni mabus ya Ulaya?

    Binafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba. Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka viraka. Hebu angalieni hata muundo wa mabus ya mwendokasi mwonekano wake kwa nje ni mzuri sana.Kukubali...
  3. K

    CAG fuatilia hizi taarifa za mapato ya Timu. Kuna upigaji mkubwa sana

    Anayekata ticket ni nani?Kama takwimu zinabaki kama zilivyo,ni wazi kuwa kuna upigaji mkubwa wa pesa za viingilio. Nashauri kama huna wataalam wa IT, utafute wataakamu waliobobea ili waibue madudu yatakayoshangaza wengi. Inawezekana hata lile suala la mtandao kuwa chini wakati wa kuuza tickets...
  4. K

    Clouds acheni kulaumu CAF kwani aliyefanya figisu ni Yanga hapa nyumbani na akafungwa

    Niko sehemu namsikia Alex Lwambano akijaribu kuituhumu CAF kama walivyozoea kuituhumu TFF kuwa eti Yanga ametolewa kwa figisu figisu! Hivi aliyefanya figisu hapa Tanzania ni nani kama sio yanga? Walifungwa wakiwa hapa nyumbani licha ya kuwafanyia figisu wanigeria wakawazuia key players watano...
  5. K

    Ingekuwa chuo Utopolo ka disco huku akimcheka Simba aliyefeli quiz

    Kuna matukio huwa yakitokea huwa najiuliza akili za baadhi ya binadamu zinavyoyumba. Utakuta mtu kavaa vizuri sana ila kumbe ni yanga! Unashangazwa anavyoshangilia simba kufungwa mechi ya kirafiki,wakijifariji baada ya kutolewa klabu bingwa.Kitendo cha kutolewa nakilinganisha kama mwanachuo...
  6. K

    Washabiki wa Yanga walivyo maboya, wameaminishwa Simba ni mbovu wakasahau kuwa wametolewa klabu bingwa

    Kwa sasa wanaamini kwa vile wamesajili wacongo wengi basi TP Mazembe imewawakilisha. Ninashangaa wana furaha sana licha ya kutolewa klabu bingwa Afrika mechi ya awali kabisa. Wao wanaamini kikosi chao kina uwezo wa kuifunga Simba. Nahisi wengi wanafikiri eidha nao walikuwa wanacheza mechi ya...
  7. K

    Kamati ya mapokezi jiandaeni kupokea wageni mtangaze utalii

    Hii kamati ya mapokezi mna maneno mengi sana.Mliisema sana Simba msimu uliopita mara ooh covid imewabeba,mara ooh sisi tukishiriki tutawaonesha mpira unachezwaje...Mungu si Athuman,Simba amewabeba mkaingia klabu bingwa. Mechi ya kwanza tu mmeliaibisha taifa. Basi jiandaeni kwenye kazi yenu...
  8. K

    Huyu dada anayetafuta mume amechanganyikiwa? Hana vigezo!

    Kuna picha imesambaa sana ya Dada mmoja anatafuta mume akiwa na bango. Si jambo la kawaida katika jamii yetu, ila naweza kusema ana ujasiri mkubwa sana unaoweza kufanywa na mtu aliyechanganikiwa tu. Binafsi nilichoona kama ishara ya matatizo; ni zile nyusi za kubandika. Nataka niwaambie ninyi...
  9. K

    Manara aanza kudai yeye ndiye kampa mafanikio Fei Toto kwa kubusu mguu wake

    Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa. Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure...
  10. K

    TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  11. K

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba si mbunifu

    Nakiri kama nchi hii msomi wa ngazi ya PhD anaweza kufikiri kama darasa la saba, ni jambo la kusikitisha sana. Mimi nisingeshindwa kusema naogeza tozo kwenye miamala, natoza kodi ya Nyumba kwenye luku, naongeza bei ya mafuta. Je, ijahitaji PhD kufikiri vitu hivyo? Je, nini kinafanyika kwa...
  12. K

    Ukiona mtu anapenda kupost picha kwenye media na kujisema ana furaha,jua hiyo kinyume chake ndio kweli

    Nimekuwa nikifuatilia mhamasishaji wa timu moja aliyepachikwa jina na waajiri wake la msukule kila mara akipost kuwa eti ana furaha. Kwa ujumla mtu mwenye kitu huwa mara chache sana kujaribu kuwatangazia watu kuwa anacho.Mfano ukikuta mtu anasema "nina hela mimi" ujue hizo hela hana ama...
  13. K

    Kwa Mkapa jana yalijaa mapapai yaliyoanza kuiva

    Ninavowaangalia hawa jamaa ni kama beseni kubwa lililojaa mapapai.Wakati wengine wanajiandaa kwa vikombe,wao wanatafuta kiki juu ya maiti au kama imefufuka basi ni msukule waliomuokota baada ya kutimuliwa kazi. Raha ya mpira ni matokeo.Huwezi kila mwaka kusema unatafuta muunganiko na mkianza...
  14. K

    Mlitaka Simba imnyenyekee Haji Manara?

    Ninawashangaa sana hawa utopolo baada ya kumsaini utopolo mwenzao wanakuja kututambia bila kujua ni sawa na mtu mzima kucheza sarakasi akiwa amevaa taulo pekee. Manara hadi kufikia kuaminiwa na utopolo,walishaanza kumtumia kitambo sana. Ni vigumu kuamini kuwa Haji hakuwa na faida kubwa yanga...
  15. K

    Wachambuzi maandazi watawabia nini watu leo walioongoza kuilaani Simba

    Tumezoea sana sie wapenzi wa Simba kuwa asilimia kubwa ya waandishi hushabikia Yanga au maarufu utopolo. Hata tukio la Haji kutuhumiwa kuihujumu Simba wote walikana kuwa hilo haliwezekani. Sisi tuliona mapema nia ya Haji manara kabla ya mechi ya Kigoma ilikuwa ni kuua spirit iliyokuwepo...
  16. K

    Hivi hawa wasomi kwanini wanashindwa kujua vitu vidogo vidogo tu?

    Nina hoja ambayo hata hivyo kwa vile nimegusa kundi la watu "wasiokosea" kwa kuwa tu wanajua mambo kwa undani zaidi,nipo tayari kupokea matusi na povu kama lote. Hoja ya kwanza ni hii;Ninawasikia wasomi wakitoa takwimu kuwa kundi la vijana au niseme watoto kati ya miaka 15 - 25 wanaongoza kwa...
  17. K

    Mazungumzo na Kabangu: Simba nimeanza kuwaelewa

    Hivi karibuni kuna mwandishi mmoja wa habari za michezo aliandika kuwa eti Simba inasajili sana sana Uganda na Yanga inasajili Congo. Kukatokea viandishi uchwara vikataka kuanza kupandikiza mind kwa watu wa Simba kuwa wao wanastahili kusajili sehemu yoyote hasa Uganda ila si Congo. Walifika...
  18. K

    Ukiacha Nyerere, hivi atatokea Rais mwingine kama Mkapa?

    Huyu mwamba aliweka mifumo karibu yote inayofanya kazi sasa.Wanaokuja wanaboresha tu na wakati mwingine si kwa ubunifu wao bali teknolojia inawasukuma kuwa hivi. Nakumbuka machache tu kama ifuatavyo; 1. Yeye ndiye alianza kuwa Rais wa kwanza kuingia kwa ushindani wa vyama vingi baada ya miaka...
  19. K

    Dakika 90 mnamaliza pakti moja! Mmekuwa kama Simba

    Hawa ndugu zetu wanatutia aibu sana. Wakati tukipambana kulitafutia taifa heshima, wao walikuwa kamati ya mapokezi na kuwapa hisani wageni wa kila namna. Ila mwisho wa siku wageni walitupa heshima na tumeendelea kubaki nayo. Jana walifanya mchezo mbaya zaidi wa kumkirimu mgeni hadi akamaliza...
  20. K

    Wachambuzi wa michezo ngongingo kocha wa timu yenu utaputapu analalamikia waamuzi wa CECAFA

    Katika mwendelezo wa tabia ya timu utapu tapu aka watupolo,leo mwamuzi amelalamikia eti kanyimwa penalty tano!Ajabu mchezo tumeangalia wote lakini yeye pekee ndiye kaona hizo penalties!! Hawa ni timu inayobebwa sana kuliko timu zote hapa Tanzania,lakini ndiyo timu ya kwanza kuwalalamikia...
Back
Top Bottom