Tamasha Fastafasta kugutusha wasafiri
Kampuni ya Purple cow media Ltd ya nchini Tanzania imetangaza rasmi kuzindua kwa tamasha kubwa Jijini Dar es salaam lililopewa Jina la pamoja Carnival litakalofanyika katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni.
Tamasha hilo lina lengo la kuwaleta watu...
Taarifa nilizopata, zinasema kuwa jengo hilo Mbowe anamiliki 75% na NHC 25% ila wamekuwa wakikataa mkataba ambao ni wa siku nyingi hivyo kukawa na kutokuelewana katika malipo ya kodi ya pango, pia kuna taarifa zinasema walipotaka kujenga jendo la kisasa katika eneo hilo serikali ikasema haiwezi...
Mwandishi mkongwe nchini Ndimara Tegambwage akiwa anatoka ktk shughuli zake amefuatiliwa na watu wasiojulikana kwa namna isiyo ya kawaida akalazimika kugeuza na kujisalimisha kituo cha polisi wazo Hill, ndipo polisi wenye silaha wakamsaidia kufika kwake
TUHUMA DHIDI YA WAHARIRI ZAWEZA KUWA ZA KWELI AU SIO ZA KWELI LAKINI MTOA UZI ANGEANDIKA NDOA ILIYOFUNGWA, IMEFUNGWA WAPI NA MAFISADI HUSIKA ILI WATANZANIA WAANZE KUPIMA KWA KUANGALIA AINA YA UANDISHI WA HABARI ZINAZOANDIKWA ZIKIWA NA UHUSIANO NA MAFISADI
Ninajaribu kuhoji kama inafaa kuitishwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kijitoupele kama tume inavyosisitiza lakini naegemea kwenye tamko lao. Je kauli yao ya sasa na ile ya zamani ipi ni ya uwongo?
Kulikuwa na Mgomo kwenye kiwanda cha nguo cha TOOKU kilichopo EPZA, Mabibo, Mbunge wa Ubungo alifika kusuluhisha suala hilo leo saa 6 Mchana. Alijitahidi kukutana na menejimenti na viongozi wa hapo wakafanya kikao, walipofikia muafaka saa 9, DC Makonda aliingia eneo hilo akapewa briefings...
KWA HISANI YA GAZETI LA MUHIMILI TULIPATA MASWALI HAYA- TUNAYAWEKA HAPA KAMA AKIPATA NAFASI AYAJIBU
1. Kupitia ukurasa huu wa KIZIMBA CHA MUHIMILI tunataka Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa apande kwenye kizimba hiki ilia je atujibu maswali haya kabla ya kutuomba kura za kuwa raisi wetu...
Helikopta,Magari 11 hadi mbwa wawili.
Mwaka 2014, Rais Kikwete alipokea magari 11 kutoka Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir.
Watanzania waliambiwa kuwa magari hayo 11 ni kwa ajili ya kupambana na ujangili. Hafla ya kukabidhiwa hicho...
Jana, Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemtimua uanachama wake, muasisi wa chama hicho na Muungano, Mzee Hassan Nassoro Moyo kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho kwa kukiuka maadili na kutoa matamshi yasiyokubalika na sera za chama chao.
Ni Majuzi tu, CCM walikuwa wanasema Zitto anaonewa...
Mkutano ulioonyeshwa ITV ni Mkutano aliofanya John Mnyika Mwanza jana, Mtangazaji wa ITV Mwanza aliyeripoti anaitwa Mabere Makubi, Mkutano wa Musoma haujaonyeshwa bado na mtangazaji wa kule anayefahamika hata ukienda vijijini anaitwa George Maratu, Tuache kufanya upotoshaji kwenye mitandao...
Licha ya baadhi vyombo vya habari na wana CCM kutangaza kuwa Tundu Lissu anapumulia mashine katika siasa za Singida Mashariki, matokeo ni kama ifuatavyo, Jimbo lina vijiji 50, Uchaguzi umefanyika katika vijiji 43, kwa sababu vijiji 7 uchaguzi umesimamishwa kwa amri ya mahakama, baada ya Lissu...
KWA mara ya kwanza, makala hii ilichapishwa katika gazeti la Tanzania Daima Jumatano tarehe 21, Oktoba 2009.
Ninairudia tena 07/04/2010 kulingana na mahitaji ya wakati huu kunapotokea mtafaruku mkubwa kuhusu BAHAKITA na serikali la Mahakama ya Kadhi. Nilipoandika mara ya kwanza, wafuasi wa CCM...
Kwa sababu inaonekana kuna tatizo la Mtandao, kwa faida ya swali lako naomba kuiweka stori hii ilivyo:
CCM, Ukawa walimwa barua
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vitatu vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi vimetumiwa ujumbe mzito wa barua kutoka kwa Wanataaluma wa Kikristo Tanzania (CPT)...
Swali kuu ambalo sisi tuliozaliwa ndani ya Muungano tunataka lijibiwe kwa ukweli kabisa ni waasisi hawa wengine wa Muungano, akina Abdallah Kassim Hanga, Abdulaziz Twala na Saleh Saadalla Akida kwa upande wa Zanzibar; na Oscar Kambona, Bhoke Munanka na Job Lusinde kwa upande wa Tanganyika...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Taasisi zake wanasema kumtukana Nyerere na Karume ni kama kutukana Wazazi, mmoja wa wachangiaji amenukuu amri ya nne ya Mungu, inayosema "Waheshimu Baba na Mama upate miaka mingi na heri duniani". akaonya kuwa kuwatukana Nyerere na Karume hatupati heri kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.