Search results

  1. Baraghash

    Bendera ya Taifa ni kero kubwa ya Muungano inayochipuka

    Bendera yetu ua Taifa ni lielelezo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama ilivyoeleza Article of the Union" Nchi mbili hizi huru zote zina bendera zao kabla ya Muungano zanzibar Kumekuja na tabia mbovu ya mmoja wa wqashirika wa Muungano kuanza kuitumia Bendera ya Muungano vibaya kiasi...
  2. Baraghash

    Toto Africans wanaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe

    Toto Afrcans wnaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe. Kupagawishwa na rangi na mapenzi yao kwa Yanga wameona bora washuke daraja lakini wakaipa ubingwa Yanga kuliko Ubingwa kwenda kwenye Timu Rangi zake zinapingana na zile za CCM
  3. Baraghash

    Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

    Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu. Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na...
  4. Baraghash

    Makonda wa Zanzibar kuundiwa tume?

    Hon. Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) Mhe.Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) Mwakilishi na Mbunge amelitaka Baraza la Wawakilishi kuunda Tume ya kumchunguza Mkuu wa Mkoa Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud ambae anajuulikana kama Makonda wa Zanzibar kwa maamuzi yake ya kibabe ikiwemo kuwatia ndani...
  5. Baraghash

    Ukiritimba wa TRA wawakimbiza wafanyabiashara wakubwa Zanzibar kwenda Kenya

    Waswahili wamesema "ukiujua huu mwenzako anaujua huu" Hatimaye mambo yametimia. Ule mtindo wa Tanganyika kuwakandamiza wafanya biashara wa Zanzibar kwa kuwalipisha ushuru mkubwa kwa bidhaa hata sile zitengenezwa na kuzalishwa bara sasa umepata muarubaini. Wafanya biashara wa Zanzibar sasa...
  6. Baraghash

    CCM: Shilingi ya Amani haichezewi Chooni

    Mfululizo wa matukio ya kuzorotesha amani hayawezi kupita bila kukemewa. Serikali zot mbili zinaongozwa na chama cha CCM.Chama hiki hakiwezi kukwepa lawama kuwa hakina mkono wake kwa rai kuwa CCM ndio mlezi mkuu wa Taifa. Kuyafumbia macho au kuyapalila si ishara njema. Chama kisiwagae...
  7. Baraghash

    Mwezi wa April ni mwezi wa Miezi Giza kwa Zanzibar

    Kwa wazanzibari wazalendo wanaoumwa na visiwa vyao, Mwezi wa April ni mwezi wa maafa na huzuni uliosambaratisha uhuru na Mamlaka ya watu wa Zanzibar. Mengi yamesemwa na kuandikwa lakini kwa ufupi ni KWAHERI UKOLONI,KWAHERI UHURU. 1. Tarehe 01 April ni siku ya wajinga 2. Tarehe 07 Aprili Rais...
  8. Baraghash

    Pasipoti za TZ Bara zapigwa marufuku Zanzibar Heroes

    Machi 16, 2017 Zanzibar imeingizwa rasmi kuwa mwanachama wa 55 wa Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ kufuatia Kikao cha 39 cha Mkutano Mkuu wa Shirikisho hilo kilichofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia baada ya kukubaliwa kwa kura 51 kati ya 54 zilizopigwa na nchi wanachama wa CAF. Kwa...
  9. Baraghash

    “You’re Not My Real President,”

    A Trump family argument over Donald’s recent cabinet appointments ended with an extremely upset Tiffany Trump shouting, “You’re not my real president!” at her father. She then stormed out in tears
  10. Baraghash

    Serengeti Boys:TFF ijiandae kupeperusha Bendera ya Tanganyika Gabon

    Pongezi tuwap waie Vijana wa Serengeti Boys walivyojitahidi, ingawa kwa "figisufigisu" kuwa moja za timu iliopania kufanya makubwa nchini Gabon. Itakuwa si vizuri tukapora ushindi wao uwe ya Tanzania yote wakati Zanzibar haimo wala haibariki ushiriki huo. Napenda TFF...
  11. Baraghash

    Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili

    Wenye nyoyo ziliosononeka na sura za huzuni, Viongozi wa Wandamizi TFF, jana walijivisha ngozi ya kondoo kujumuika na Wazanzibari kusheherekea ushindi mkubwa walioupata kukubaliwa kuwa mwanachama wa CAF, Viongozi hawa wa TFF na wengine wenye fikra za mgando wamezisahau kauli zao za...
  12. Baraghash

    Tetesi: Zuio la kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar

    Kuna tetesi kuwa "Mamlaka kuu" imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar. Inasemekana Rubani wa ndege hiyo alisema walishindwa kuanza kazi kutoka na kuzuia kwa madai kuwa hawana kibali cha kufanya kazi hiyo. Mwenye taarifa kamili kuhusu ukweli wa kadhia...
  13. Baraghash

    SMZ yaanzisha vita kali dhidi ya Mashoga

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,SMZ,imeanzisha rasmi vita dhidi ya Mashoga badala ya USHOGA na tayari imewatia mbaroni watuhumiwa kadhaa wa Ushoga na Tisa kati yao wamethibitishwa rasmi na Daktari kuwa nia Mashoga 1. Sijui taratibu gani zilizo tumika za kumfanyia uchunguzi wa kitaalamu...
  14. Baraghash

    Balozi Seif: Maalim Seif hana ubavu wa kuwa Rais wa Zanzibar

    Balozi Seif, wakati akilihutubia Barazala Wawakilishi mjini Zanibar leo asubuhi wakati wa ufungaji /uahirishaji wa Baraza alisema kuwa " Maalim Seif hana ubavu wa kuwa Rais wa Zanzibar katika kipindi hiki cha utawala wa Dr.Ali Moh'd Shein kinachoishia 2020 na hata baada ya 2020" CCM itaendelea...
  15. Baraghash

    Kupiga vita madawa ya kulevya na kuhamasisha Kilimo cha Tumbaku,Vyereje?

    Tumeshuhudia Serikali zetu zinavyoendesha vita dhidi ya madawa ya kulevya ili kunusuru nguvu kazi ya Taifa. Lakini kwa bahati mbaya tumelipa kisogo tatizo na adui mkubwa wa afya kwa jamii yetu linalotokana na Tumbaku. Hata kitakwimu,Tanzania kuna watumiaji wengi wa Tumbaku kuliko madawa ya...
  16. Baraghash

    Mwakilishi Zanzibar aitaka serikali ya Mapinduzi kupiga marufuku Condoms

    Mwakilishi Nadir Abdul-latif Yussuf Alwardy, CCM wa Jimbo la Chaani aliitaka Serikali ya Zanzibar kupiga marufuku Condoms, uuzwaji na usambazaji ikiwa kweli jamii inataka kulidhibiti tatizo la ubakaji na udhalilishaji wa jinsia kwa vijana na watoto. Amesea kuzagaa kwa Condom mitaani ni...
  17. Baraghash

    Viashiria 14 vya Udikteta

    Wana Majlis: Nimekutana na tafsiri ya wasomi wa Siasa kuhusu viashiria vya Udikteta. Nami naviwasilisha kwa lugha asili kwenye Baraza ili nisipoteze maana. 1. Nationalism. While fascism, communism and religious fundamentalism may be seen as global doctrines, their implementation is typically...
  18. Baraghash

    CCM Zanzibar yanyweshwa sumu takatifu

    Katika jambo linaloonekana kwa CCM Zanzibar kuridhia kunyweshwa sumu takatifu huku ikijenga uhasama kwa wanachama na raia zake bila wenyewe kujitambua, limezusha hofu kubwa Visiwani . Katika Mkutano uliohutubiwa na na Rais wa Tanzania mjini Unguja, JPM alionesha wasiwasi wake kwa Dk. Shein...
  19. Baraghash

    CCM Zanzibar: Kuridhia kufufuliwa Azimio la Arusha ni sawa na Kumsaliti Hayati Karume

    Jitihada za makusudi zinafanywa na CCM Bara la kulifufua Azimio la Arusha na kuliingiza Zanzibar kinyemela kupitia mgongo wa CCM. Azimio la Arusha ni jinamizi la TANU ambalo lilipigwa marufuku na Rais wa ASP na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye mkutano wa hadhara, na kutamka bayana kuwa...
  20. Baraghash

    Tanzania kuwa nchi ya Viwanda na Kikombe cha Babu

    Ndoto njema ya alinacha ya Tanzania kugeuka kuwa nchi ya Viwanda inazidi kustawi kwa Watanzania waliobakia usingizini. Maudhui ya ndoto ni mema kwani inaliwaza na kupumbaza na kutengeneza nafasi ya kupumua alau kusahau kwa muda shida zinazo ikabili Tanzania Watanzania lazima tujiulize nani...
Back
Top Bottom