Search results

  1. F

    IGP Mwema, 'mob justice' na kuuawa kwa polisi

    ndo maana ile kitu ya dhahabu ilipotea?
  2. F

    Ni Mwakyembe au Magufuli kupewa wizara ya Maliasili na utalii

    taasisi imara hujengwa na kusimamiwa na viongozi imara wasio wabinafsi. kiongozi ovyo hawezi simamia ujenzi na usimamizi wa taasisi makini. na taasisi makin zitakuwa makini zikiongozwa na watu wa ovyo? huwezi kwepa umuhimu wa watu wenye uwezo na wasio wabinafsi etc katka mafanikio ya taasis
  3. F

    Kitanzi cha JK:Wizara ya Maliasili yatajwa kuwa mtego kwa Kikwete Pinda, Mwamunyange, Mwema

    watafutwe kina magufuli na mwakyembe wa wizara hiyo. tutafika tu
  4. F

    Wasomi wetu je kuwa na mawaziri kutoka nje ya nchi itakuwa ni kosa au hapana?

    humu humu wamo tu wengi. wamejaa tele watz wabunifu, wasiowaoga, jasiri, wasiowabinafsi etc.
  5. F

    Taarifa za Siri za Wanasiasa Kudukuliwa baada ya Kuporwa Laptop/Simu zao.

    na adukuliwe yeyote chini ya jua hili ilimradi ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
  6. F

    Udukuzi Wa Marekani

    na wanadukuaga mambo mengi - makubwa kwa madogo. na inawasaidia kutupeleka watakavyo.
  7. F

    Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    mkuu, ibambasi. afrika tumeachiwa msala. waliotuletea uislamu wanawatumia waliotuletea ukristo kufanya mambo yao karibu yote huko kwao. waleta ukristo ndo wanaendesha karibu kila kitu uarabuni. ukafiri si hoja hapo na wala ugaidi wa waislam hauonekani. wanakuwa kitu kimoja
  8. F

    Lowassa,anne kilango malecela,lembeli,filikunjombe wateuliwe kuwa mawaziri

    filikunjombe apewe nafasi tumwone. lembeli pia. mi nashangaa sana. mtu tumjuaye kwamba hafai wa nini? jaman nchi hii ina watu wengi sana. mbona tunazunguka humohumo tu?
  9. F

    Ni zamu sasa kwa kanda ya nyanda za juu, magharibi au kati kutoa rais wa tz 2015...

    ila dr. mwakyembe anaweza na jasiri jamani. ni aina ya rais tumtakaye. na sio mwizi. kama tunaitakia mema nchi hii awe rais au mfano wake awe rais. ni mtu aliye tayari kufia nchi yake. hana tamaa. hanunuliki. nani mfanowe?
  10. F

    Cheche za Magufuli zaokoa Bilioni 16

    JK atuongezee mawaziri kama huyu
  11. F

    Baada ya Kinana Ukatibu mkuu tumtegemee nani kuiokoa CCM?

    mzigo? Unamaanisha bwimbwi?
  12. F

    Wachina ni wezi

    Wachina, wazungu, waarabu wote sawa tu. Ukikaa sawa au ukijipendekeza lazima wakulize.
  13. F

    Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    Hatutaki fisadi yeyote. Eti bora mwizi fulani kuliko mwizi fulan.
  14. F

    Tukiondoa mipaka yote ilyowekwa na wakoloni Afrika hakuna vita tena

    Bado zitapigwa tu. Wenye pua ndefu wataona wenye pua fupi hawafai. Shombeshombe watajiona bora zaid ya weusi tii. Etc etc. WagenI wakitaka maliasili watatuchonganisha
  15. F

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Nje ya muungano Zenji kama Rwanda
  16. F

    UN yakosoa TZ kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

    Ndo Hivo tena. Wamechelewa kuja. Wanajiorganize against waliowah. They must go
  17. F

    UN yakosoa TZ kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

    Jaman waachen waende. Walichokuwa wanafanya ni sawa? Walikuwa hatari
  18. F

    Wahamiaji haramu waliokaidi amri waswagwa kama ng'ombe huko kagera muda huu.

    SHWARI, hawa watu tusiungane nao, wataleta ututsi -hutu wao na matamaa ya madaraka na mavurugu. Ila tuwachunge hata ndani kwao wakianza kuuana tuwachape faster.
  19. F

    Wahamiaji haramu waliokaidi amri waswagwa kama ng'ombe huko kagera muda huu.

    Washikaji hawapendi kwao. Punguzeni kuzaliana, Rwanda itawatosha.
Back
Top Bottom