Habari wadau wa jukwaa pendwa, jukwaa nalolipenda kushinda mengine hasa kutokana na kuwa na vioja vingi kila kukicha.
Muda mrefu umepita tangu kutia maguu kwenye jukwaa hili, hiyo ni kutokana na shughuli zangu za kijasiriamali ambazo zimekuwa zikini-keep busy 24/7 365.
Baada ya kuamua kufanya...
Nilikuwa sitaki kukujibu sema ngoja nikujibu kulingana na ulichoandika, Unaposema huoni MTUKUFU amekosea wapi hilo ni uongo, Unawezaje kusema kwamba anaminya mianya ya rushwa wakati huo huo anaminya demokrasia.
Unawezaje kusema anazuia matumizi mabaya ya fedha wakati huo huo Kiranja mkuu wa...
Habari zenu wafuasi wa mtandao pendwa na wale wapenzi wa jukwaa hili la mahusiano, natumaini wote ni wazima na mko imara kama Simba sema sio Simba hii ya kina Manara ni uimara wa Simba mnyama.
Pasi na kupoteza wasaha ningependa niendee moja kwa moja kwenye dhumuni la kuandika uzi huu ambao...
Yaani wewe ni Bonge la Jembe Aiseee ..Umezungumza Maneno mazito na yenye ukweli ndani yake. UMETISHA! Kama ungekuwa unapandisha MASANGA na Upo Dar basi ningekuomba uje hapa Tripple 7 nikupe walau Bucket 1 ya Heineken aiseee.
You may not be her LAST,her FIRST,or her ONLY,she loved before she may love again
IF she love you now what else matters!!!!!!!!!
Mimi Umenikosha hapo kwenye PURPLE tuu, Maneno Kuntu kweli kweli
Asante kwa kunisaidia katika hilo Mkuu, ulimi hauna mfupa, nilipagawa kidogo kwenye suala zima la uandishi, nilikuwa napitia jukwaa la Ndugu Mshana kuhusu Jamvi la Magari, kwaiyo wakati naandika Toyota ilikuwa imenikaa kichwani, i hope nimeeleweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.