Search results

  1. L

    Pikipiki Used Inahitajika

    Habari wadau wa jf. Natafuta pikipiki used. Iwe ya Kijapani au KKihindi. Nitumie private msg kama unaweza kusaidia katika hili
  2. L

    hodi jf!

    Nimejiunga hivi karibuni. Pamoja na elimu ninayoipata kutokana na mijadala mbali mbali pia nafurahia uwezo mkubwa wa wana jf katika kuandaa na kuchambua mada. Natamani ningekuwa na uwezo huo. Ni matumAini yangu kuwa tutakuwa na wakati mzuri pamoja, asanteni.
Back
Top Bottom