Search results

  1. nkaki

    Benki ya Dunia yaingilia kati bomoabomoa isiyofuata Sheria kati ya Ubungo na Kimara

    Kuna kitu wanasheria wanakiita Adverse possession. Wanasheria watusaidie, hata kama Eakuja watatakiwa kulipwa.
  2. nkaki

    Mke wangu kabadilika kimuonekano

    Apache ubwabwa , vidonge vya majira au masindano kwa ujumla awe na nidhamu ya Misosi na mazoezi. Hata mimi mwanaume bongiso hapana, minyama inaninginia hapana.
  3. nkaki

    Hali ya Usalama Jijini Dar inazidi kuzorota, Vyombo vya Usalama vinafanya kazi gani?

    Lakini kwani police wasifanye patrol pale kwa kuwa imeshajulikana wahalifu wengi wapo pale. Mi ninaiman msako ukifanyika pale wakamatwe kama kumi wapewe kichapo kitakatifu wanawaleta wenzao. Kazi rahisi tu
  4. nkaki

    Prof. Baregu: Dhana ya kutumbua majipu ni ya Kienyeji

    Prof. Anaweza kuwa sahihi kwa asilimia 60
  5. nkaki

    Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

    Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa Rais wetu anaumizwa na maisha ya shida yanayowasibu asilimia kubwa ya Watanzania. Hana makuu pamoja na kuwa ni Rais. Sijaona yeye kwenda kula good time nje wakat watanzania wanataabika.
  6. nkaki

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Na Mimi nimevutiwa na hiyo investment pls add me afrarisha@yahoo.co.uk
  7. nkaki

    Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

    Twende mbele turudi nyuma upanzani unasaidia sana. Mambo mengi yanafanyika kutokana na vuguvugu la upanzani
  8. nkaki

    Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

    Mi kwa uwelewa wangu mdogo naona mama bi. Tulia hata mama ni au atakuwa naibu spika bado atakuwa ameshushwa kulingana cheo cha awali au
  9. nkaki

    Magufuli, naomba ushahidi wa barabara zilizojengwa na CCM

    Amezoa kutamka namba anavyotaka anajua watanzania hawaelewi
  10. nkaki

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Baba sita sema utawafanyia nini watanzania majungu hayatusaidii
  11. nkaki

    Kwa hili Dr. Magufuli amepoteza kura za watanzania

    Kwa kweli hata mimi watanisamehe kura yangu siwapi ng'oo
  12. nkaki

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hata hivyo hajawamwaminifu inavyopaswa. Angesema pia upande wa ccm. Anavyoongea ni kama katumwa na chama fulani. Ana weka watanzania njia panda. Ni vizuri kuwa na upande. Ila matendo yake yanaonyesha dhahiri upande wake ijapokuwa hajatangaza rasmi
  13. nkaki

    Mariam Kisangi kuwepo bungeni ni ujambazi! Huyu mama ni wa wapi?

    Huyu alivyo hana uwezo wa kuingia kwenye mitandao ya kijamii kama jf.
  14. nkaki

    Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

    ulichosema ni kweli kabisa
  15. nkaki

    Ushindi wa Arumeru_mabadiliko mkumbo?

    Hawajatutendea haki Wanaarumeru hao wanaojiita wasomi/wataalamu. Ninaweza kusema wametutukana,na wanaweza wakawa wametoka mikoa ile isiyojitambua na isiyosoma alama za nyakati au wametumwa na magamba.
  16. nkaki

    Elections 2010 Regia Mtema akataa hongo ya CCM

    Hujakosea Mpendwa, sehemu zote zenye maendeleo, watu wenye kujua kufikiria na kupambanua mambo wamechagua Chadema. Lakini sehemu zile za wenzetu ambako wako kweusi kimaendeleo wamedanganyika (LINDI, RUFIJI au MTWARA). Hata ukiangalia kwa mkoa wa Dar utajifunza kitu kwa wakazi wa Jimbo la Kawe na...
Back
Top Bottom