Search results

  1. W

    COSOTA, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanzia Januari mwakani

    Nakuunga mkono!!! Je wamiliki wa vyombo vya habari wameshirikishwa vyema!!?
  2. W

    Magufuli ukituwekea msingi mzuri wa kutumia rasilimali hizi

    Natumaini Magufuli amekupata vema!!!!
  3. W

    TTCL kuzindua huduma ya 4G leo

    TTCL 4G LTE WEEKLY PACKAGES Validity Volume Price (TZS) 7 days 1 GB 3,400 7 days 2 GB 6,500 7 days 4 GB 10,000 7 days 6 GB 15,000 TTCL 4G LTE MONTHLY PACKAGES Validity Volume Price (TZS) 30 days 5 GB 25,000 30 days 10 GB 40,000 30 days 20 GB 72,000 30 days 40 GB 130,000...
  4. W

    Mkemia mkuu Tanzania: DNA yabaini 49% watoto sio wa baba halali

    Wana familia msistuke hii ni kwa wale ambao walienda kupima.Mpaka kufikia hatua ya kwenda kupima maana yake kuna mgogoro mkubwa na kutoelewana kwa hali juu.Hivyo ieleweke kuwa 49% waliokuwa hawana uhakika kuwa ni watoto wao na wakaenda kupima kweli ilionekana watoto sio wao.Je hiyo 51% ambao...
  5. W

    Waziri Muhongo awataka wazawa kuwekeza kwenye Umeme

    Nilimsikiliza kwa makini nikajiuliza nikakosa jibu!!! Baada ya kuwadhalilisha wazawa kwa jeuri na kiburi sasa amebadilika(Tumpongeze/Tusubiri). Nahisi maneno ya Magufuli wakati akiongea na wafanyabiashara yalimuingia vizuri na kaamua kwenda na kasi ya Rais.Maana Magufuli alitoa mfano kuwa sisi...
  6. W

    Wenger anataka kumnunua kila mchezaji mzuri...

    Simulizi hizi zitaisha lini!!!!??????? Kila mchezaji bora alitaka kumnunua!!! Arsene Wenger has admitted he regrets not luring Raheem Sterling to Arsenal when the Manchester City winger was a teenager. The England international began his career at Queens Park Rangers and rose through the...
  7. W

    COSOTA, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanzia Januari mwakani

    Baada ya muda mfupi hakutakuwa na free2air tv/radio!!. Na wasanii ili kupata promo itabidi nao walipie!!! Lets wait!!
  8. W

    Freeman Mbowe aiyumbisha dola

    ​Mbona humuandiki mzee wa vijisenti ambaye yeye mwenyewe alisema na kudhibitisha!!!! Au unaliogopa Joka la makengeza!!!!
  9. W

    Hesabu yangu wengi mtafeli.. Ukiweza jaribu kunipa majibu

    Factorial!!!!!!!!!!!!!
  10. W

    Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    ​Mbona kweli % kubwa ya waafrika ni mazuzu!!!!
  11. W

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Mukulu Pasco nakukubali sana hasa mabandiko yako yote yanaonesha jinsi ulivyobobea katika uchambuzi.Mimi nitaungana na wewe kama Magufuli atabadilisha sheria ya kesi kupitia kwa DPP.Takukuru wachunguze,wakamate,wapeleke watu mahakamani bila kibari cha DPP hakika nitamkubari sana.Kumbuka Hosea...
  12. W

    Wakati wa kufuta Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya umefika

    ​Niko kwa desktop LIKE!!!!LIKE!!!!LIKE!!!!
  13. W

    Kosa la UKAWA lililowagharimu

    Nakumbuka Mnyika alitoa hoja hiyo na Bi Kiroboto alitoa nje!! Magamba wasingeweza kufanya hivyo na hawataweza kuunga mkono hoja hiyo.Vipengele hivyo kama havitabadirishwa hamna haja ya kupiga kura!!!!!
  14. W

    Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Dr. kwa mwaka mmoja!!???? Maji marefu!!!
  15. W

    Swali kwa wavulana wanaoishi na wazazi

    ​Duhhhhh!!!!!!!
  16. W

    Wapiga solo guitar na ulevi, kuna siri gani?

    Ndallah Kimoko(dalikiii mmkooooh!!!!!!- E mayebo ya kupolaaah!!!!!!!!!!!)
  17. W

    Rais Magufuli akutana na Prof Lipumba, Ikulu - Dar es Salaam

    Kaenda kumpongeza kwa kumfutia kesi p....a
  18. W

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Aanze na TTCL!!!! Wengi ni wazee na hawana elimu lakini ni wachapakazi!!!!!
Back
Top Bottom