Poleni wafiwa. Mungunt akupeni subira. Sombrero was a real gentleman. i had an opportunity to meet him many a times when i used to go to Mbeya.
RIP Mzee Sombrero
Kwa ufahamu wangu sirikali ya Tanzania haina dini, kwa hivyo suala la kusaini MOU with any religion is incorrect. Kama ikiwezekana waweke kinaga ubaga kwamba dini zote zitapata misaada based on the MOU signed with Muslims or Chrisitians - this is my thought
A Yemeni airliner with 153 people on board has crashed in the Indian Ocean near the Comoros archipelago.
Some bodies have been recovered, a Yemeni aviation official said, and wreckage of the plane located. It is not clear whether there were survivors.
The Airbus 310 flight IY626, operated...
We need to have good Government employees (for whom we pay salaries out of our taxes) to at least think and feel for the country and fellow citizens. Inasikitisha sana kwamba hawa wenzetu wakipata wanajisahau kabisa kwamba kuna binadamu wenzao ambao wanaumia kutokana na decision zao za kishenzi...
This will be the best thing if achieved, as it will be in line with Cannons of taxation 'fairness' - everyone should pay tax.
Nchi za wenzetu hata marais wanatakiwa wafile tax returns and declare income and pay resultant tax na hapo tutpata kuwakamata viongozo amabo awana evade tax kama...
Ahsante Mwanafalsafa, hivi ndivyo wabunge wanavyofanya kazi, inapokaribia wakati wa kula huwa wanaamka na siku zote hawasemi. What good Diallo has done to the nation while he was a minister!!!!
Hawa maporoko kwa nini wasiruhusiwe wawe na wake so as to avoid kutia mimba watoto wetu.
Akamatwe halafu ajzwe chupa huyo ....... ndiyo atajua raha ya kuwaharibu watoto wetu!
Mimi Kinachonishangaza kuwa information kutoka serikalini kuhusu DOWANS and RICHMONDULI haijatolewa mpaka hii leo - nina wasiwasi kwamba hayo makaratasi ya BRELA yasije yakawa yanapikwa ili kumtaja mtu fulani halafu huyo mtu awe ndio BANGOSILO ili wengine waendelee kula. It takes a hell of time...
As far as i know the MPs are exempted from taxation on gratuity - this is based on Income Tax Act, 2004 (ITA 04).
According to old ITA 1973, all resident employees were exempted to half of gratuity payable - this included MPs also as they are expected to be resident!
It is surprising to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.