Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni.
Amemshangaa mnyika jutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya kitaifa pekee bali...
Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni ya rasimu ya katiba.
Amemshangaa mnyika kutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya...
Muh. Charles Tizeba, Naibu Waziri wa Uchukuzi. Kwa muda wa miezi miwili sasa kuna mengi yameandikwa kuhusu kudorora kwa mahusiano kinchi kati ya Tanzania na Rwanda. Lisemwalo lipo lakini jambo hili limechochewa na kukuzwa na vyombo vya habari.
Wengi tulikua tunahisi kuwa hatua...
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Ponda Issa Ponda amesomewa mashtaka huku akiwa amelazwa katika Hospitali ya ya Taifa ya Muhimbili. Jana na leo asubuhi maofisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, walimfuata Ponda hospitalini wakitaka kumhoji lakini...
Sheikh Alhadi Musa, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa DSM (BAKWATA).
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) pamoja na asasi kadhaa za kutetea haki za binadamu, wamelaani kitendo kinacho sadikiwa kufanywa na jeshi la polisi cha kumpiga Sheikh Issa Ponda Risasi la begani. Asasi hizo ni pamoja na TGNP...
Wana JF nimeona nishirikiane nanyi katika kuhimiza matumizi ya takwimu kuliko kutumia maneno na ushabiki ambavyo katika siasa havina tija. Kwa maana ya harakaharaka, neno NGOME linamaanisha nyumba, ufalme, himaya ya mtu au maeneo yake ya kujidai. Linamaanisha nguzo pia.
Kumekua na maneno...
Uchaguzi wa Zimbabwe umekamilika. Rais Mugabe ameendelea kuiongoza Zimbabwe baada ya ushindi wa zaidi ya 60%. Chama chake cha ZANU-PF kimepata viti zaidi ya 140 kati ya 210. Hii inaonesha kuwa ZANU-PF kitakua na two third majority bungeni. Ni ushindi mkubwa sana kwa Mugabe na ni anguko kubwa kwa...
sasa hivi CCTV ya China inarusha moja kwa moja mahojiano yanayohusu mbuga ya wanyama ya Serengeti. Uhamaji wa nyumbu ndiyo mada inayozungumzwa. Je promo hii ni kutokana na ziara ya Rais wa China hapa nchini hivi karibuni? TBC nayo inarusha live kutoka CCTV
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo.
Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa...
Ndugu wana JF, wiki mbili zilizopita, zimetawaliwa na ziara za viongozi wa ccm na chadema mikoani. kwa tathmini niliyoifanya, ziara ya Mh. Pinda imekua na mafanikio makubwa mkoani Ruvuma. Mh. Mbowe alikua Shinyanga, Ruvuma na jana Tabora. Mkuu wa nchi Mh. Kikwete yuko mkoani Kagera. JK...
Natanguliza kusema kwamba mimi sina chama rasmi cha siasa. Nimekua nikipiga kura kwa kumuangalia mtu siyo chama chake. Toka mwaka 1995 ulipofanyika uchaguzi wa vyama vingi, kuna mengi ambayo yamejiri katika medani ya kisiasa. Mwaka 95, NCCR Mageuzi kilitoa upinzani mkubwa dhidi ya CCM. CUF...
Utangulizi
tumo katika kipindi cha kupitia rasimu ya katiba ya muungano. ni bahati mbaya kuona katiba ya muungano inatangulia ile ya tanganyika au tanzania bara! hali hii itasababisha katiba ya muungano kuiburuza ile ya tanganyika. kwa upande wangu kosa limefanyika. tulikua tuanze na katiba ya...
kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi siyo mwanasheria. haya ni mawazo yangu ya kawaida. nitashukuru wanaoifahamu sheria wakiniweka wazi kwa faida ya watanzania wenzangu. kwanza nampongeza jaji warioba na timu yake kwa kazi nzuri waliyofanya! rasimu ipo mbele yetu. tuisome watanzania ili...
kwanza nimpongeze mbatia kwa kazi nzuri anayo ifanya kuhusu suala la elimu hapa nchini. amekua msitari wa mbele kuonesha madudu yaliyomo ktk sekta ya elimu hapa nchini. ikumbukwe kuwa wadau kama hakielimu na wengineo, pamoja na wabunge wengine wamekua wakilalamikia baadhi ya mapungufu yaliyomo...
Tumo katika nchi inayofuata sheria. nchi yoyote ile lazima iongozwe kwa kufuata sheria. TCRA ni chombo kinacho simamia vyombo vya habari vya kielektroniki hasa redio na televisheni. kina mamlaka ya kuonya au hata kufungia chombo cha habari kinacho kiuka maadili ya utangazaji.
redio imaan ya...
UTANGULIZI
nianze kwa kusifu jitihada zenye msukumo wa utaifa na uzalendo alizo zifanya mh mbatia kwa kutafiti kuhusiana na suala adhimu la ELIMU HAPA NCHINI! ni ukweli uliyo dhahiri kuwa mbatia anastahiki pongezi. alizungumzia mambo matano ya msingi. sera ya taifa ya elimu (national...
Mbunge ni mtu mwenye heshima kubwa katika jamii. Kuna sifa nyingi anazofaa kuwa nazo mbunge. Miongoni mwa sifa sifa hizo ni umri wa miaka 21 nakuendelea, elimu, uzalendo, busara na mwana maendeleo. Mbunge anafaa kutumia akili yake sana pindi awapo bungeni. Anatakiwa kutanguliza maslahi ya taifa...
Mwanzoni mwa wiki hii waziri wassira alikutana na viongozi wa dini za Kikiristu na Kiislamu mkoani mwanza. Lengo la kukutana kwao lilikua kujadili suala la kuchinja wanyama wanaouzwa katika bucha mkoani mwanza.
Kumekuwepo na tofauti kati ya Wakristu na Waislamu kuhusu suala la kuchinja. Kuna...
huwa sipendi kuzungumzia udini lakini lisilobudi hutendwa. nchi yetu imekua na mfumo wa vyama vingi toka 1992. ni miaka 20 sasa tukiwa katika mfumo wa vyama vingi. kinacho nisonnesha ni ukweli kwamba baadhi ya vyama vinaelemea kwenye ukanda, ukabila na udini. hali hii haitotufikisha popote. hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.