Search results

  1. Bize Bize

    Tunakodisha trekta

    Samahani sana, hatufanyi biashara hii tena
  2. Bize Bize

    Shamba linauzwa Kimanzichana

    Habari zenu jamvini!! Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa nyumba nzuri ya bati ya vyumba viwili, banda kubwa la kufugia kuku wa kienyeji, banda dogo la mbwa...
  3. Bize Bize

    Trekta Ford 7500 2WD linauzwa!!

    Used trekta toka Denmark linauzwa. Lipo kwenye hali nzuri hali nzuri halijafanya kazi hapa kwetu Tanzania. Kwa anayelihitaji aniwhatsapp kwa 0787519910 nimtumie picha.... Shukurani wadau!!
  4. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Habari zenu jamvini!! Ninaomba mwenye uzoefu na shughuli za trekta kama kukodisha, kubebea mizigo ama kukodisha kwa kilimo tuwasiliane tafadhali. Nimenunua trekta aina ya Ford 7500 2wd lipo kwa hali nzuri. Ni used toka Denmark... Lakini pia kama kuna mtu angependa kununua trekta naweza...
  5. Bize Bize

    Michango mifuko ya kijamii

    Wadau msaada kwenye tuta!! Nikiwa mfanyakazi wa kampuni binafsi nilikuwa nachangia na kuchangiwa ktk mifuko ya kijamii. Na nikiwa mfanyakazi nilikopa kwa mwajiri wangu. Katika namna nisiyoifikiri mwajiri kasitisha ajira yangu. Natamani kuchukua michango yangu inifae kipindi hiki kigumu, wakati...
  6. Bize Bize

    Vijimisemo vya zamani

    Kulikuwa na vijimisemo enzi zile nikivikumbuka, huwa vinanipa burudani. Vijimisemo kama ''Utabana ngenge - wakimaanisha utakoma! ,du kinaa - yaani hakuna shida, dole tupu - yaani powa tu!! Unakumbuka vimisemo vipi, hebu tupia hapa tukumbushane!!
Back
Top Bottom