Search results

  1. Benz Petrol

    Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

    Hii habari imekaa kizandiki.. eti meli ilizima tena ikabidi watu wafaulishwe kwenye maboti. Kweli habari kama hii source pekee iwe jamaa wako wa karibu??!! SMDH!
  2. Benz Petrol

    DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Huyu Bashite si alikana kuwa hajui lolote kuhusu hayo makontena??? Hebu tujikumbushe kidogo...... http://www.youtube.com/watch?v=KQvFQBhJSm0
  3. Benz Petrol

    Yaliyotokea kwa Sugu na fundisho kwa wanasiasa wengine

    Kwa hukumu kama hii ambayo haina mashiko, ni dhahiri Sugu atashinda kesi ya rufaa. Nimeseme tu wanachokifanya watawala ni kujenga zaidi Mh. Sugu
  4. Benz Petrol

    Zimbabwe: Rais Robert Mugabe ajiuzulu Urais kabla ya Bunge kumuwajibisha

    Aliyekuwa Raisi wa Zimbabwe amejiuzulu, spika wa Bunga la Zimbabwe Jacob Mudenda amesema. Burua kutoka kwa Mugabe inasema uamuzi huu ni wa hiari. Wabunge walishangilia baada ya kusomewa barua hiyo. Source: BBC Africa
  5. Benz Petrol

    Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani

    Ahasnte mkuu Salary Slip Mimi kwa mtazamo wangu Tanzania bado ni 'vigin territory' kwenye maswala ya usafiri wa anga, inahitaji tu kasi ya ubohoreshaji miundombinu ya viwanja na mengine yatafuata. Nitajaribu kuanisha sababu zangu kama ifwatavyo: Utamaduni wa mtanzania Huu utamaduni, ilikuwa...
  6. Benz Petrol

    ACACIA wapunguza wafanyakazi 1,200

    Hatimae Acacia wameamua kuufunga mgodi wa Bulyanhulu, taarifa zinadai kuwa wafanyakazi zaidi ya elfu mbili (2000) watakuwa hawana kazi kuanzia kesho. Nae mwenyekiti mtendaji wa Acacia - Brad Gordon amadai kuwa, itawagharimu dola za kimarekani millioni 30 kuufunga mgodi huo kwa kulipia fidia za...
  7. Benz Petrol

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Ndiyo tatizo letu waTanzania - kutojiamini na kutoamini, ndiyo maana tunakubali chochote tu na ndiyo hata kuibiwa ni rahisi pia. Huwa nashangaa baadhi yetu wabongo, wakisikia au kuona namba kubwa za matrillioni ya shilingi hawaamini kwamba nchi yao inaweza kuwa na kipato kama hicho. Wengi...
  8. Benz Petrol

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Ndiyo tatizo letu waTanzania - kutojiamini na kutoamini, ndiyo maana tunakubali chochote tu na ndiyo hata kuibiwa ni rahisi pia. Huwa nashangaa baadhi yetu wabongo, wakisikia au kuona namba kubwa za matrillioni ya shilingi hawaamini kwamba nchi yao inaweza kuwa na kipato kama hicho. Wengi...
  9. Benz Petrol

    Lowassa ashiriki kuuaga na kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Kenya, Nkaissery

    Akili sawa na jina, ungejaribu tu kufanya kautafiti usinge kuwa na fikra ndogo kiasi hicho
  10. Benz Petrol

    Yu wapi IGP Mangu?

    Msamehe bure tu huyu maana naona ni 'new member'
  11. Benz Petrol

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Inawezekana pia hivi ndivyo anavyo shauriwa mkuu wa kaya. I hope kuna mmoja atakae muekleza ukweli wa kinachoendela huko mtaani. Swala la vyeti la Basite bado liko palepale na alichokifanya Clouds pia hakisafishiki.
  12. Benz Petrol

    BOT yapunguza riba ya mikopo kwa Bank za ndani,toka 16% mpaka 12%

    Mkuu Barafu hapo kwenye 'athari gani chanya' haueleweki, rekebisha......
  13. Benz Petrol

    Lindi: Rais aagiza RC Zambi kumnyang’anya passport mkandarasi wa mradi wa maji wa Ngapa

    Mkuu sababu ni kwamba hajamaliza mradi hivyo wamnyan'ganye passport ili asiingie mitini. Sasa hapo sijui sheria sijui zinasemaje juu ya uhalali wa agizo hilo.
Back
Top Bottom