Search results

  1. G

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Juma hili benki ya dunia imezuia ufadhilii wa mabilioni ya shilingi kwenye sekta ya utalii na uhifadhi kwa Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Samia. Habari hizi imetangazwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, ila kwa vyombo vya ndani...
  2. G

    Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

    Tumekuchoka wewe chawa katika nywele za uchafuni
  3. G

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Tunashukuru mama Samia kwa hilo
  4. G

    Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

    Ukiacha biashara yako ya kujiuza naye atang'atuka
  5. G

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Majaji wa mahakama zetu wengi ni Makada wa CCM, chama kinachotekeleza sera ya ufisadi kwa vitendo. Nitajie mtu safi nadani ya CCM nami nitakutajia malaya mwenye bikira😀
  6. G

    Ezekia Wenje achambua kinachopaswa kuitwa Tume huru ya Uchaguzi. Asema Canada na Ubelgiji ina viongozi waadilifu Nchi zao zinaendelea

    CCM ni kama M7, wanaamini wanayo hati miliki ya nchi hii waile wao na uzao wao tu
  7. G

    Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    CCM hawana sera zaidi ya kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake
  8. G

    John Malecela amshukuru Mungu kwa kufikisha Umri wa miaka 90, Phillipo Mangula ahudhuria

    Maisha hayatabiriki, pamoja na maisha uzinzi ujanani mpaka uzeeni, bado kagonga 90
  9. G

    Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

    Nitajie mmoja muadilifu ndani ya CCM, nami nitakuonyesha malaya mwenye bikira
  10. G

    Kwanini CHADEMA huwa inashindwa kusaidia wananchi hata kilo moja tu ya sukari wanapopatwa na matatizo?

    Nashauri wana jf wenye iq za kutosha tuache ku comment kwenye nyuzi za huyu msikule, tunampandisha chati bure
  11. G

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Huyu inasemekana alikuwa jambazi kabla ya kukamilisha na kuokoka
  12. G

    Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

    Tofautisha kati ya ushindi na wizi wa kura. Ccm ni kama mtu anayejivunia utajiri alioupata kwa ujambazi wa kumwaga damu za watu
  13. G

    Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Uko sahihi siku hizi maana ya uongozi ni kupata nafasi ya upigaji tu. Rais wa mchongo alithibitisha hilo alipotamka, bila aibu, eti kila kiongozi ale kwa urefu wa kamba yake
  14. G

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Kagera kuna wahutu na watusi wengi kutoka nchi jirani, huyu ni mmojawapo kama alivyokuwa marehemu kichaa
  15. G

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Hakuna kikosi cha uokoaji na vifaa hakuna, pesa wanatumia kwa anasa kwa kununua magari ya kifahari na safari zisizo na tija
  16. G

    TAMISEMI yatangaza ajira 3865 za Watendaji wa Kata, Vijiji na Mtaa

    Hizo ni ajira za machawa na watu wa pwani tu
Back
Top Bottom