Today in the afternoon we were visited by a team from NEMC, TFDA, TBS, TRA, Police and other government agencies, they came to verify if we have complied to the Government announcement on Sachet products.
They found the following;
No production of products packed in sachets. All sachet line...
Today in the afternoon we were visited by a team from NEMC, TFDA, TBS, TRA, Police and other government agencies, they came to verify if we have complied to the Government announcement on Sachet products.
They found the following;
No production of products packed in sachets. All sachet line...
Waanze na Azana zinazoboa watu kutuamsha na kutishiana makaburi usiku usiku.. tena wanaweka vipaza sauti nje wakati wao wapo ndani na majumbani kwao. kama wapo busy na kukumbushana si wapigiane simu bwana. Then waamie kwenye makengere ya makanisa ndio waje kwa watu wanaomtafuta Mungu ndani...
Hii imetokea muda huu wakati akihutubia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM, kuwa kuna vyama vinasema vinataka kuwakomboa watanzania, ya kuwa watu hao ni WAPUMBAVU.
Kwa hili Rais Mstaafu Mkapa amekosea kwa kuwatukana watanzania ambao wanashiriki katika siasa halali kabisa nje ya CCM...
Kiroja ni kwamba eti hoja inayotolewa ni sababu za kiusalama. Naibu Inspekta wa polisi Abdurahman Kaniki anasema ni baada ya tathmini ya uchukuaji fomu wa CCM na UKAWA.
Huku ni kuwanyima haki wananchi kushiriki katika shughuli za kisiasa.
Ningewaona wanamantiki iwapo wangeweka utaratibu na...
Eti limesitisha maandamano ya aina yoyote kuanzia sasa kwa wagonbea urais, iwe kusaka wadhamini ama kurejesha fomu NEC.
Hii ni kali ya mwaka na haiwezi kuwa na mantiki hata kidogo.
Ukifatilia kwa makini, utabaini no woga tu wa watawala dhidi ya Lowassa na UKAWA.
Source: Evening News...
Hayapigi kura kweli but stories repeatedly issued in newspapers has a significant influence to readers choice on who to vote and who not to vote. Majority wanawajua wagombea wa vyama vyote thru media, hawajawahi kutana a nao msikitini wala kanisani, msibani ama harusini, shambani wala sokoni...
Malisa, nakubaliana kabisa na your observation and media analysis kwenye suala la Lowassa vs Magufuli.
Hata itakapolazimu kufanyika kisayansi zaidi, kwa kutazama Advertising Vue Equivalence ya coverage za wote wawili for the past three months, thamani ya stories za Lowassa ni over triple the...
Habari za uhakika kutoka eneo la soko maarufu la Mtambani, Kinondoni Manyanya zinasema soko hilo limewaka moto na kuunguza maduka mengi ya wafanyabiashara mbalimbali alfajiri ya leo.
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia.
Nimesikitishwa sana na kijana Zitto. Yako wapi majigambo na majivuno yote. Ziko wapi kauli na tambo zake kuwa atakuwa wa mwisho kutoka CHADEMA. Yako wapi yale maneno yake ya siku zote kuwa hakuw mamliki? Anawaambia nini wale ambao hawakuwahi kusadiki kauli za wachunguzi wa kisiasa ambao...
Kwa hiyo kiapo kinasema iwapo ukitenda vinginevyo stahiki yake ni kutendewa ukatili wa kiasi hicho? From human rights perspective na kwa mtazamo wa kiutu, si sawa by all standards
Taarifa zilizojiri hivi punde ni kuwa kiongozi wa vijana waliohitimu JKT ambao walitangaza kuanza maandamano ameokotwa msitu wa mabwepande akiwa ameumizwa vibaya kwa sasa yupo hospital ya Tumbi-Kibaha. Mwenye detailed info tafadhali tusaidie.
Nawasilisha
Ni muhimu ukatuwekea na reliable source of your info Yericko, maana tumezoea issues kuanzishwa hapa na kuleta hofu na mwishowe huwa ni hofu ya jambo lisiloweza thibitika. Sina maana ya kubisha unachokisema, ila ni vema kujiridhisha pasipo na shaka. Otherwise tunaweza ichukulia kama simulizi ya...
Ina maana kuwa, pamoja na mjadala mrefu tangu jana, hakuna anayeweza kutoa clear details about huyu suspect? Let's get a little bit more serious jamani. Viewers/readers of this forum wanaiamini sana, nasisitiza, sana tu hii forum. Mbona tunapewa info half cooked? Is this really the best people...
Naimagine majibu:
Tumetumia nguvu, fedha na jitihada kubwa kuleta maisha bora kwa kila mmachinga kwa kuwapa Machinga Complex, kisha vijana wanakuwa wakorofi! Haiwezekani! "If u can't convince them, confuse them" now wameamka wamechanganyikiwa. Next move ni kuwahamishia wote Machinga Complex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.