Search results

  1. A

    desc top inauzwa bei poa

    ram 1gb hdd 500gb ni dell flat screen tsh 350000 haipungui 0757510219
  2. A

    Watoto wa kishua

    WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA. MAELEKEZO. i. Jibu maswali yote. ii. Kila swali linabeba maksi kumi iii. Zingatia mpangilio wa kazi. iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU. MUDA; Masaa...
  3. A

    Kodi zetu

    WAKATI NASOMA NILIKUWA NASIKIA CHADEMA WANALALAMIKA CCM WANAKULA KODI ZETU NILIKUA SIELEWI WANAKULAJE! Coz NILIKUWA CJAWAI KULIPA KODI YANI NIMEFUNGUA KA STUDIO KADOGOO HATA MWAKA HAKANA NASHANGAA #manispaa wanataka ushuru tsh elf 50 #manispaa hao hao wanatakaushuru wa bango tsh elf 15...
  4. A

    jifunze kuwaita polisi wa tanzania

    Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata alikuwa anapanda kitandani alale ,mara mkewe akamwambia kua ameacha taa inawaka Bafuni, jamaa akaamka akawa anaenda kuzima Taa ....alipo fika Bafuni akacheki cheki nje kulikua na mbwa anabweka . Kuangalia Vizuri kuna MAJAMBAZI wameruka ukuta wa Home kwakwe...
  5. A

    polisi wa tanzania

    Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata alikuwa anapanda kitandani alale ,mara mkewe akamwambia kua ameacha taa inawaka Bafuni, jamaa akaamka akawa anaenda kuzima Taa ....alipo fika Bafuni akacheki cheki nje kulikua na mbwa anabweka . Kuangalia Vizuri kuna MAJAMBAZI wameruka ukuta wa Home kwakwe...
  6. A

    angalia digita ilivyo

    mfumo wa digital Wameboresha kuweka lugha ya kihehe kwenye sim na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:- Phonebook SHITABU SHA ISIMU Names MATAWA. Exit HEGE IPA. Cancel DUMULE. Setting KUPANGILILILA. Call KUTOVA. Missed call VAKUTEMULIGE. Receved call VAKUTOVIE. Dialed call...
  7. A

    Swali

    iv kwann mpenz wako anapo kuliza unatka nkufanyie nn ambacho kita furahsha moyo wako,hua unakoxa uhuru na kuxema "chochote unachojckia"?
  8. A

    Kujiongelesha

    Kuna jamaa mwenzenu nimekaa nae mtu mzima anajiongeleshaaa af mtu mzima anasema sema siri zake na mke wake anajisifu sifu anafikiri mi namuona mjanja kumbe ananiboa niko busy nachart hebu nisaidieni nimjibu jibu gani ambalo hata endelea kujisemesha semesha na asijisikie vibaya.
  9. A

    Mshahara wa polisi

    iv ndugu zangu polisi wanalipwaga tsh ngapi? Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo haangalii kushoto wala kulia.
  10. A

    Msanii nisie muelewa

    menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
  11. A

    market

    MARKETING TO MBA STUDENTS. 1. U see a gorgeous grl in party, u go to her & say i am rich, marry me.-"That is DIRECT MARKETING" 2. U attend party & ur frnd goes to a girl & point at u tells her. He is very rich, marry him.-"That's ADVERTISING" 3. Girl walks to u & says u r rich, can u...
  12. A

    Utamu

    MALIZIA MISEMO IFUATAYO (1)Utamu wa kazi ni "PESA" (2)Utamu wa usingizi ni "NDOTO" (3)utamu wa FACEBOOK ni.......... (4)Utamu wa mapenzi ni.................. (5)toa na wewe ya kwako............
  13. A

    Habari moto moto

    Zuzu mmoja alinunua gazeti,alipofika nyumbani tu akaenda kuliweka ndani ya friji. Mama yake aliyekuwa amekaa sebuleni akashangaa akamuuliza,"Mbona umeweka gazeti ndani ya friji?" Zuzu akajibu,"Wameandika lina habari motomoto acha zipoe kiasi ndio nizisome!"
  14. A

    Dear waziri wa nishati

    Dear Waziri wa Nishati, Nna uhakika kwamba wizara yako inajua kuhusu teknolojia ya uzalishaji wa gesi kwa kutumia takataka,kwani najua kuna viwanda vichache vinatumia teknolojia hii kujizalishia umeme unaoendeshwa na gesi itokanayo na takataka baada ya uzalishaji wa bidhaa zao. Jambo ambalo...
  15. A

    Kifo cha sharo milionea

    Omama,nakufa men,sijapenda men bado naipenda dunia men..izraeli usiniguse men unanichafua men... oma gad... Ndo maneno aliyetoa sharo kabla ya kukata roho yake.
  16. A

    Tabia na kabila

    Wamama watatu (mchagga, mgogo na mhaya) walijifungua watoto, bahati mbaya manesi wakawachanganya, kuwatambua ikawa vigumu, ikabid watafute mbinu ya kuwatambua. Dokta akarusha coin ya tsh20 ilipodondoka sakafuni, mtoto wa kwanza akashtuka na kupepesa macho, wakajua haka kachaga...
  17. A

    Kirengesa

    Kuna jamaa alikua hajui kiingereza alikua anahitaji kuku Jinsi ya kuzungumza kuwa nataka kuku ni ngumu Pembeni kulikua na mteja mwingine anakula mayai Akamuita mhudumu akasema see that I need your mother
  18. A

    kazi ya makumbusho ha ha ha ha ha

    Jamaa anapiga simu Makumbusho ya Taifa"Haloo,hapo ni Makumbusho ya Taifa?"OFISI:"N dio 2kusaidie nini?" JAMAA:"Ok,naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?" OFISI:"Pumbavu!Hiyo co kazi ye2...! JAMAA:"Sasa makumbusho mnakumbusha nini? OFISI:"Tunahifadhi mambo ya zamani"...
  19. A

    Wivu

    Mume alienda shamba akamuacha mkewe na nduguye nyumban, aliporudi hakuwaona mara akasikia sauti kutoka chumbani ahaa shemeji lamba haraka! 2malize nataka nikaoge. mume alifungua mlango kwa hasira hamadi! akawakuta wanacheza karata! tena wako bize.mume hoi!!!
  20. A

    Risala ya marehemu ccm itakayosomwa 2015 kipi kiongezwe?

    Risala fupi ya marehem CCM: inaletwa kwenu na mimi Abuneri Mgaya Marehem CCM alizaliwa 05/02/1977. Enzi za uhai wake marehem alijishughulisha na kuua mazao ya biashara km pamba,tumbaku,kahawa,korosho na katan. Marehem pia atakumbukwa kwa kaz kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda km...
Back
Top Bottom