Search results

  1. D

    Dr. C. Chami hali si shwari Moshi Vijijini

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Moshi Vijijini wameonekana wa tofauti sana katika uchaguzi huu, hali hii imejitokeza katika Kata ya Kirima mkutano wa Chami aliokuwa ameuandaa eneo la KNCU Kirima. Pale ambapo mbunge anayemaliza muda wake na aliyewahi kuwa Waziri akiongozana na Sophia...
  2. D

    Magari ya Serikali yatumika kwenye kampeni za CCM wilaya Siha

    Mkuu kama umesoma uzi vizuri hapo mwanzo unasema source ni mtumishi wa halmashauri kwa hiyo unataka nimtaje ili ashughulikiwe au? Hii sio masihara jamani ni kitu cha kweli ukweli mtupu.........
  3. D

    Magari ya Serikali yatumika kwenye kampeni za CCM wilaya Siha

    Katika hali ya kushangaza jana Mkurugenzi wa wilaya ya SIHA mkoani Kilimanjaro alitoa magari ya Serikali na kuyaelekeza kwenye msafara wa mgombea mwenza Samiah Suluhu. Kilichofanyika ni kwamba walinyofoa plate number kwenye magari ya STAFF wake na kuzibandika kwenye magari ya Halmashauri hiyo...
  4. D

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Ndugu zangu wana jamii forum kuna watu waliwahi kusema kuwa Lema amecholwa Arusha mjini mimi nilikuwa kimya tu nisubiri maoni wana wa Arusha wenyew waamue kumbe hali imekuwa tofatuti na ilivyokuwa ikizungumzwa na baadhi ya watu. Kaitka kura za maoni zilizofanyika jana Mh. G. aliibuka na ushindi...
  5. D

    Mgombea Urais UKAWA atatetea ILANI ipi?

    Ya chama kilichompa tiketi ya kugombea kupitia UKAWA
  6. D

    Nauona Ugumu wa kupambana na CHADEMA

    umfurahi sio eeh,lakini hamponi safari hii. Tunanjia baharini tu
  7. D

    Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

    Mpe mpe vdonge vyake huyooooooooooo
  8. D

    Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

    Rais jk ameteua wabunge wawili huku ikiwa imebakia miez michache kabla ya bunge kumaliza muda wake mapema mwezi jina. Je hawa wanaenda kufanya nini mwezi hii mitatu iliyobaki? Je wametumwa kazi maalum huko? Au bunge limepwaya? Nawasilisha...
  9. D

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    nimetupia ten chapu (10,000) cheki na paylink ltd, via namba 0755-951957
  10. D

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    amani.sg Mkuu nimerusha ten (10,000) chapu hapo hebu check na PAYLINK SYSTEM LTD via namba 0755-951957
  11. D

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi

    Ndungu wana jamii forum bila kupepesa macho leo kanisani tumesomewa maazimio ya baraza la maaskofu wa makanisa yote ya kikristo ni kuwa ni kuipiga chini katiba kwa kura ya hapana sababu kuu ni kuondolewa kwa mambo mhm yaliyopendekezwa na wananchi. Mambo yenyew tulisomewa kanisani ntaitafuta...
  12. D

    Mkakati wa CCM: Hawa ndio Watakaoongoza Kampeni ya NDIYO Katika Katiba Pendekezwa

    Ndg wana jamii forum hbr nlizozipata hivi punde ni kuwa kuna mkakati unasukwa na chama cha mapinduzi ccm kusafirishA watu wenye USHAWISHI mkubwa ktk jamii kwenda ikulu kwa ajili ya kushawishiwa wawahamasishe wananchi kuipigia kura ya ndy katiba. Sasa je huko ikulu watahongwa nini hata juzi? Ni...
  13. D

    Je, UKAWA watasimasha Mgombea kwa Deo Filikunjombe na Kangi Lugola?

    Mkulu mwenyewe alipewa tezi dume sembuse mgombea ubunge????
  14. D

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Pamoja na mambo mengine aliyofanya na kupewa adhabu hiyo, Kumbe jamaa alivuta 30 million kutoka kwa James Rwegamalira halafu akatulia kimya sasa kimenuka wanatajana wenyewe... Naomba kuwasilisha.....
Back
Top Bottom