Search results

  1. G

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    fuga kuku chotara au nguruwe rafiki
  2. G

    Jiko dogo la gesi linauzwa

    weka namba zako za sm na picha ya hilo jiko
  3. G

    Nauza line ya M-Pesa

    habari zena nauza line ya mpesa kwa shs 500000 karibuni
  4. G

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Habari ya mchana wapendwa, naomba msaada kwa wale wenye uzoefu na ufugaji wa kuku wa nyama, mimi nafuga wa kienyeji ila nataka nifuge na wakisasa shida ni kwamba nashindwa kujua kwa mfano kuku 300 watakula mifuko mingapi kwa siku hadi wiki?
  5. G

    Kuku chotara

    Miss chagga nimeku PM please naomba tuwasiliane, ili kufanikisha lengo
  6. G

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Habari yako naomba ni PM namna ya kutengeneza chakula cha kuku wa kienyeji kwani ninakuku wa kienyeji wapatao 30 ila najikuta nanunua tu chakula sasa nafikiria kutengeneza mwenyewe itanisaidia kupunguza garama naomba msaada wako. Asante
  7. G

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Pole sana kaka huyo mwanamke amekuwa katili sio kwako tu hata kwa watoto ila mimi nakushauri wewe tulia kimya usimfuatilie kwa chochote kaa kimya angalia wanao fanya kama vile mama yao hayupo, chukua jukumu la ubaba na umama kunusuru watoto kwani hawana hatia, pia usichukue maamuzi ya kuanza...
  8. G

    Nafasi za kazi tasaf

    jamani naomba kujuzwa kwa anaewajua Intercity bank ltd, location na je wanautapeli?
  9. G

    Nimebadikiwa ghafla kisa huwa siendi KANISANI.

    unajitetea hujui ratiba khaa?
  10. G

    Nimebadikiwa ghafla kisa huwa siendi KANISANI.

    sasa kama wewe ni baba mtarajiwa hupendi kwenda kanisani je utawafundisha nini watoto wako, badili mtazamo 2b wako yupo sawa kabisa hata kama ningekuwa mimi ningekubadilikia
  11. G

    Naomba ushauri kwa hili.

    pole kaka ila kwa upande wangu mimi naona huyo dada mwenyewe hana msimamo, usipoteze Muda kabisa kwani hata ukiwa nae baadae huyo mshikaji akimtokea atakumwaga tu tena. piga moyo konde songa mbele utapata wa ukweli
  12. G

    Nafasi 16 za Kazi - Benki ya Wanawake (TWB)

    Thank you for the information
Back
Top Bottom