Search results

  1. M

    Mbowe:Kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo nchini!

    Nasikia unga wake una soko kubwa sana nchi za asia hasa uchina wanatengenezea dawa za kuongeza nguvu za kiume Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. M

    Uingereza yatoa zaidi ya dola za Marekani mil. 13 kusaidia kilimo nchini

    Huo msaada utatufikiaje wakulima wadogo na marazote nasikiaga misaada kwa wakulima wadogo lakini sijawahi kusikia hata jirani yangu amepata sasa misaada hii inaendaga kenya au uganda? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. M

    Natafuta till za tigopesa

    kiongozi vuta subira kidogo Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. M

    Mwaka Wa 20 Sijaugua Malaria

    Mimi nina mwaka wa 16 sijaugua malaria na magonjwa mengine huwa hayanisumbui labda mara chache mafua,kikohozi,kichwa nikiwa nimekaa muda mrefu bila kula na tumbo kuharisha kama nimekula kitu kibaya na huwa nikijisikia dalili za homa napiga viroba viwili nikiamka kesho yake nakuwa poa na hii...
  5. M

    Vifaa vya stationery vinauzwa

    Lamination ya aina gani na ni bei gani? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. M

    Huu ndio ukweli jamani?

    Sasa lini tutachukua kikubwa? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  7. M

    Line ya mpesa inauzwa

    Tigo pesa ipo inataka laki saba Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. M

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Kuwakata mikia form one,kuvuta wakati wa kurudi likizo-kuchelewa kureport,njuka,udufi, Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. M

    Tumwombeeni Mwigulu afya njema... Ana 'siri nzito'

    Tiss mpo hapo? Au tunasubiri atekwe mtu then bukoba boy aweke youtube? Anziani hapo upelelezi tukisubiri yatakuwa makubwa. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. M

    Line ya uwakala-tigopesa nahitaji

    Mob watu wamefanya application ya hizo line tangu mwaka jana mwezi february na wamefuata taratibu zote hadi ilipofika miezi nane hawajapata wakaenda kudai milioni moja zao walizo deposit bank kama masharti ya kupata hiyo line na hawajapata hadi leo, hivyo ukiona mtu anauliza humu na anataka...
  11. M

    Line ya uwakala-tigopesa nahitaji

    Ipo inataka laki saba ni pm Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  12. M

    photo copy mashine inauzwa

    Wape mzogo wakapige business Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. M

    Hii ni biashara ya ukweli au?

    Hakunaga biashara ya hizi vitu ni miyeyusho na wizi tu amini nakuambia yaani hii kitu ina bei kuliko dhahabu na almas Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. M

    kujitoa TIGO PESA

    Acha kutumia au poteza password then usihangaike nayo au ingiza namba za siri zisizo sahihi mara tatu utakuwa nje hadi utakapotaka kurudi ukawaone wahusika Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. M

    CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Mbona haija sainiwa barua hii ina walakini. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  16. M

    Cement za Rhino na Lucky

    Asante nimepata somo Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  17. M

    Tangazo kwa Umma juu ya uuzaji wa viwanja katika eneo la Golani, kata ya Kimbiji

    Hii bei mbona ipo juu sana Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  18. M

    Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika?

    Hivi kesi ya ugaidi ina dhamana? Maana sijawahi sikia kesi ya ugaidi ikiendeshwa TZ Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  19. M

    Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Kwakweli tupo mahala pabaya sana tanzania. Tatizo letu naamini sio vyama bali ni watendaji ndani ya vyama hadi serikalini na tuseme ukweli kutokuwajibika,ufisadi na kujipendelea ndio kunakoleta hali ya kutugawa watanzania na mwenye kuweza kuweka sawa mambo haya sio CDM bali ni chama tawala na...
  20. M

    Nahitaji Spacio kwa bei cheap

    Kwa spacio nitakujibu kesho isiyozidi 2004 Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom