Search results

  1. U

    Magari ya Rizwan

    Itafika siku vitu vyote vitarudishwa kwa watanzania, kumbuka Azimio la Arusha au enzi za Mwalimu. Hivi hawa watu wanataka utajiri uwafikishe wapi?
  2. U

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Sikujua kumbe Bwana Mdogo Kabwe hata 35 bado ! Subiriiiiii
  3. U

    Rwandair - CRJ900 Next Gen arrives KIGALI on 5th Nov 2012

    [yanayoua mashirika sio managers bali ni ukubwa wa shirika na udogo wa mapato, hebu angalia shirika lina wafanyakazi wangapi na wana ndege ngapi? manager anashindwa kuendesha hizi ajira za mjomba na shangazi ndizo zinazoua shirika hebu tafuta wapi umeona tangazo la kazi shirika la ndege hapa TZ...
  4. U

    Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa?

    Jamani mumuwache Rais wetu afanze kazi,
  5. U

    Rwandair - CRJ900 Next Gen arrives KIGALI on 5th Nov 2012

    Nchi yetu inaangalia siasa tu, vitu muhimu kama kuwa Shirika la Ndege imara imeshindikana, siyo kurogwa ni kutokuwa na uhamuzi.
Back
Top Bottom