Search results

  1. M

    Jihadharini na Oman Air

    Hili tukio kila mtu ukimwadithia anashangaa sio tukio la kutunga limetokea nikiwa transit hapo airport ya Muscat,
  2. M

    Jihadharini na Oman Air

    Kama angekuwa punda Oman wangemwacha?
  3. M

    Jihadharini na Oman Air

    hii issue sio ya kutunga Kwa nia ya kuwachafua Oman air,alinunua hapa Dar to Muscat then Muscat to London,na Kwa taarifa tulinazo kesho yake kuna watz wengine wawili pia wazuiwa kupanda hiyo Ndege kuelekwa nchi za ulaya siongei kitu cha kubahatisha ninao ushahidi kwani siku hiyo nilikuwepo...
  4. M

    Jihadharini na Oman Air

    Na Kwa taarifa tulinazo watz wengi wakipita hapo mascut kwenda nchi za ulaya na marekani wanasumbuliwa Sana bila sababu za msingi
  5. M

    Jihadharini na Oman Air

    Aliomba apewe kwa maandishi /barua sababu za yeye kukataliwa kupanda ndege walikataa
  6. M

    Jihadharini na Oman Air

    Kama una mtu Zanzibar muulize hii Ndege hawapandi Kwa sababu ya usumbufu especially ukiwa unaelekea ulaya, Canada na USA
  7. M

    Jihadharini na Oman Air

    Aliwaomba wampe sababu za yeye kuzuiwa Kwa barua wakagoma,wakaenda Help desk kuwaeleza nao wakawa wanashangaa kitengo hicho
  8. M

    Jihadharini na Oman Air

    Nina ushahidi salimia 100 siku hao watz wanazuiwa kubadilisha Ndege kwenda London nilikuwepo hapo airport Gate A6
  9. M

    Jihadharini na Oman Air

    Watu wengi mnachangia kiushabiki Mimi mwenyewe nilishuhudia kijana wa kitanzania walimrudishia Dar bila sababu za msingi wakati ana visa,barua ya mwaliko,amelipia hotel,Oman air ni washenzi Sana hiyo tabia ya kuwa warudisha abiria hapo mascut ni ya muda mrefu sema wa Tz wengi kifanyiwa vitendo...
  10. M

    Jihadharini na Oman Air

    Usiwe mbishi watu wengi wamezuiwa kuingia kwenye Ndege ya Oman air kwenda others destination na ushahidi upo,
  11. M

    Jihadharini na Oman Air

    Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua
  12. M

    Jihadharini na Oman Air

    Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air. Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje. Cha ajabu...
  13. M

    Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Ubalozi mwingine unaosumbua Sana ni Belgium kuna mdada wa kitanzania yuko reception anaomba rushwa wazi wazi naomba watu wa foreign affairs mumchunguze huyu dada ushahidi upo
  14. M

    Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Ubalozi mwingine unaosumbua Sana ni Belgium,kuna mdada wa kitanzania yuko reception, anaomba rushwa wazi wazi, naomba watu wa foreign affairs mumchunguze huyu dada,ushahidi upo
  15. M

    Bei ya Rubby kwa gram

    Ina maana Ruby ina thamani kuliko Tanzanite
  16. M

    Nataka kuukana uraia wa Tanzania kuchukua wa Norway, ni madhara yapi ntayapata?

    Ana akili za kimaskni anaonekana hata Nairobi hajafika,hao ndio wanokatisha wenzao tamaa
Back
Top Bottom