Search results

  1. A

    Hongera sana Jaji Munuo!

    Kama mnakumbuka wenzangu miaka ya 2000 kule Same Kilimanjaro alikuwa akizungumza na na watekelezaji wa sheria na pia viongozi wa dini na wakimila. Umuhimu wa kuzingatia haki za binadamu pasipo kuingilia mila na desturi. Nilikuwepo kwenye semina hiyo natulipewa maswali na mambo yakudiscuss na...
  2. A

    Hongera sana Jaji Munuo!

    Nafikiri wengi wetu tunanukuu mambo ya mitaani pasipokuwa na refernce zozote. Sheria ya kifo haijafutwa Tz ila raisi anauwezo wakutoa msamaha wa mtu aliyehukumiwa kifo na hivyo bado ipo. Napenda pia nitoe michango mbalimbali ya jaji huyu katika jamii nje kidogo ya kazi yake. Amekuwa...
  3. A

    Hongera sana Jaji Munuo!

    Naomba nimjibu baba H kuhusu hoja yake.Namfikiri anamjaji kila mtu sawa na majaji wengine walioletea sifa mbaya taifa letu.Kama nimtu unachunguza vizuri sio tu kusoma rekodi za huyu mama,bali wafanyakazi wote kuanzia ngazi za chini za mahakama zote alizofanya huyu mama watakuelezea jinsi huyu...
Back
Top Bottom