Search results

  1. G

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Kumbe kulikua na hii poll??mbona hatukujua???mm sijapiga kura naomba muongeze yangu apo kwa mpendwa wetu Magufuli tafadhali
  2. G

    Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

    Kwanza lifutwe tu mana hakuna anaefaatilia
  3. G

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Meseji nzuri mnooo.Umoja ukianzia kwenye chama basi hata uraiani watu watakua na umoja
  4. G

    Arusha: Makonda akutana na Mwamposa na kufanyiwa maombi

    🤣🤣🤣 Duuu aiseee
  5. G

    Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

    Embu wshambulie maisha magumu,kukosa ajira,inflation,bima ya afya na ufisadi na rushwa.hao ndo wapinzan waa ccm kwasasa.aache kujitoa ufahmu
  6. G

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Mm nilijua kaletwa nchimbi basi atafagia mitaka taka yooote.katibu hana kelele ni mtu wa mipango zaidi.niliota ndoto flan naikumbuka mpaka kesho.inakribia kutimia
  7. G

    Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Na hiyo ndo akili....tutafute CEOs na baadhi ya operations managers kutoka nje na wakati wanaendesha wawepo wazawa wakijifunza
  8. G

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Waondoke warudi kwao hatutaki ubaguzi.hili jambo lazima tuone linafanyiwa kazi waliofanya ichi kitendo wakamatwe watiwe adabu.na serikali itoe tamko otherwise sisi wabara tunaonekana mapoyoyo
  9. G

    Benki Kuu (BoT) yadai kuna watu wameficha dola

    Nawaza tu siku wakificha pedi ivi itakuwaje???manake looklike wanaamua tu kwamba sasa ivi tufiche bidhaa fulani
  10. G

    Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    🤣🤣🤣🤣🤣
  11. G

    Msafara wa Makonda wapata ajali

    Na ni kodi watu wengine tunalipa kwa lazima wanakata juu kwa juu tena kodi yenyewe kubwa sanaaa halafu kuna wajinga wanachezea namna hii???kwann asitumie helcopter???hayo magari ni very expensive kutengeneza...halafu unasema ametatua kero..kero ipi aliotatua???si ni watu tu wanajilipa posho na...
  12. G

    Machifu na Mashujaa wa Iringa wampa Paul Makonda jina la Wigombikanana lenye maana ya Mlinzi wa Taifa

    Machifu wa mchongo hao sisi machifu wetu tunawajua walipo.we ushawahi kuona wapi chifu wa wahehe mweupe???ni walevi wa ulanzi hao
  13. G

    Makonda aitwa Mungu, ndio anatengezwa mwingine wa kutukuzwa na kuogopwa?

    Ilitakiwa mkutano huu usitishwe hapo hapo na alieitwa Mungu kwanza angekanusha maneno hayo kwa ukali hapo hapo watu wakisikia na kumwambia Mungu mm ni mdudu tu siwezi kamwe kuwa kama wewe.na angetakiwa kujishusha na kujinyenyekeza kwa Mungu muda wote mbele ya watu na sirini.otherwise Mungu ni...
  14. G

    Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    Yaan lazima kuna vikao vya siri vipo kumjadili....ngoja tuone
  15. G

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Mm nachoshangaa ivi kweli think tank ya CCM yote wakaona wachome pesa za kodi za watz maskini ili msafara wa mwenezi upite nchi nzima kufanya zile drama za kupanda punda???real???wananchi wanalia umeme hakuna nchi nzima halafu mna waletea drama kama zile???kweli hii nchi tumerogwa aisee
Back
Top Bottom