Search results

  1. ROBERT MICHAEL

    Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    Acheni kurukaruka, hatuwakatai hao DP world, tunatakataa vifungu vilivyomo kwenye mkataba.Kwanini mnakuwa wabishi kwenye kuvitoa au kuvibadilisha hivyo vifungu?Mnaanza kutuletea propaganda za enzi hizo tena za kina Mahita na mapanga ya kuwasingizia CUF.
  2. ROBERT MICHAEL

    Hongera DP world kwa kutua Tanzania

    Mimi sijaelewa hao wanaopinga si wanaopinga vifungu vilivyomo na si uwekezaji.Serikali ifanyie kazi vifungu hivyo , mwekezaji apewe bandari.Mbona vitu simple tu kwa serikali.
  3. ROBERT MICHAEL

    Naomba ramani ya Zanzibar inayoonyesha kuwa Bagamoyo ni sehemu yake

    Kuna wakati shirikisheni bongo zenu, msipayuke payuke.Hiyo ardhi walipewa kwa ajili ya kunenepesha ng'ombe kabla hawajaenda visiwani. Eneo la bandari itakapojengwa (kama ikijengwa) ipo mbali na eneo hilo la Zanzibar.Karibuni mjini, msije mkauziwa maeneo ya watu.
  4. ROBERT MICHAEL

    Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    Umeshaona wapi Dar es salaam ina wajumbe wa serikali za mitaa wanaojielewa ukiaacha huko Masaki.Wengi wamepigwa mbele ya hao hao watu wa serikali za mitaa.
  5. ROBERT MICHAEL

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Mimi ushauri wangu bwana Madelu aweke thesis yake hadharani na watu waipitie ili awakomeshe vizabizabina kama Dr Musukuma
  6. ROBERT MICHAEL

    Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

    Hapo wanaofaidika ni middlemen, wakulima wa chini wataendelea na hali zao zilezile kama hawauzi mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika
  7. ROBERT MICHAEL

    Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Nzuri sana hii, mkumbushane kwa kweli, wasiwe wanakuja huko wanawapiga fix mpaka mkamaliza fedha zenu za akiba , ukijua ukija Dar siku moja mwana atakuhifadhi.Wenzenu huku wanaishi maisha ambayo sio, wanaona aibu kuwaambia ndugu zenu wanaosoma ili wasikate tamaa ya shule.Msitiriane kama Ndugu...
  8. ROBERT MICHAEL

    Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

    Hapo hamna shehe hata mmoja, wote hao watoto wa mjini , ambao walipata nafasi kupita madrasa. Mjini watu hawana habari ukijichanganya watu wanakupiga pesa.
  9. ROBERT MICHAEL

    UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Ndugu zangu mnapata shida nao hao, utakuta mwingine ni mhitimu wa chuo tena shahada za biashara. Haijui UTT wala DSE. Ila Kalyanda anaijua vizuri.
  10. ROBERT MICHAEL

    Kwanini naunga mkono tozo

    Kwanini fedha yangu uikate kodi mara mbili.Makodi tunalipa lukuki, tumeshawahi kulalamika kwani japo tunajua zunatumika ndivyo sivyo.Kwanini uikate tozo fedha yangu ambayo haujaiongezea thamani yoyote.
  11. ROBERT MICHAEL

    Mwigulu Nchemba: Tumepokea maoni ya tozo, tunashughulikia

    Tozo kwa huduma za benki ni uonevu mkubwa , maana benki wana makato yao na wewe unataka hicho hicho nilichokihifadhi ilihali unajua kabisa aliyehifadhi ni mfanyakazi ambaye umeshamkata kodi au mfanyabiashara ambaye unamkata kodi kwenye pato lake analopata kwenye biashara. Unakuja mbele ya...
  12. ROBERT MICHAEL

    Waziri Simbachawene:Maini mnazokula Nyie wananchi ndio hayo tu nakula sisi Mawaziri, Maisha ya sasa ni bora zaidi kuliko wakati wote uliopita

    Je, kwanza wao kama viongozi watakubali kuendeshwa kwenye gari za kawaida na je, pia watakubali posho za siku za wabunge zipungue hadi elfu 50?Wasione wao ndio wana nafasi ya kula mema ya nchi bila kuhojiwa.
  13. ROBERT MICHAEL

    Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

    Samahani kiongozi, je , una Ndugu ndani ya Tanzania?Kama unao wafikirie kwanza wao usifikirie tumbo lako.Maana una bwabwaja tu humu ndani kwa ajili ya tumbo lako.
  14. ROBERT MICHAEL

    Wanaoisema vibaya serikali mitandaoni kukiona

    Siku zote nikisikia Kiongozi yeyote amefoji cheti chochote,namdharau sana.Najua hamna kitu.
  15. ROBERT MICHAEL

    Waziri Mwigulu shikilia hapo hapo, hakuna lelemama kwenye ujenzi wa nchi

    Mnaweka tozo na nchi inakopa tena.Ngojea nijidai sijaelewa
  16. ROBERT MICHAEL

    Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba na January Makamba hamna kitu mule.Ndio wapo kwenye Baraza la Mawaziri kama washauri wa Rais, nchi inakwenda mrama kwenye uchumi muda si mrefu.Wait and see.
  17. ROBERT MICHAEL

    Naanzisha kampeni ya kumuomba Rais Samia amuondoe Mwigulu Wizara ya Fedha

    Exposure muhimu sana na kazi tunayo kwa Hawa viongozi wetu waliosema hivi vyuo vyetu vya ndani, wengi exposure hawana.
  18. ROBERT MICHAEL

    Naanzisha kampeni ya kumuomba Rais Samia amuondoe Mwigulu Wizara ya Fedha

    Mzee wa PhD feki anazidi kuidumbukiza nchi kwenye chuki.
Back
Top Bottom