Search results

  1. N

    Invitation to Register - Launch of FinScope Tanzania

    *Do not email poster - follow link to register and for further queries* COMING SOON: launch of FinScope Tanzania 2017 Tracking a decade of financial access and use in Tanzania FinScope Tanzania 2017 is the fourth in the series of widely acclaimed surveys that measure the demand for and...
  2. N

    Hili la ajira za US Embassy kunani?

    Shida yetu Watanzania ni kutosoma instructions na kufuata. Kila mahali uendapo kuna policies na procedures ambazo you have to adhere to. US Embassy has some of the most stringent procedures in terms of employment and immigration in order to ensure that only the deserving people get through...
  3. N

    Mtihani wa IELTS pale british council.

    Sisemi kuwa unapotosha, ila katika site ya IELTS inaelekeza kuwa kuna test centre moja tu Tanzania, na hiyo ni British Council. Mi mwenyewe ilibidi nifanyie hapo hapo. Anyone can follow the link below inayooonyesha testing centres za IELTS all over the world. Huenda ya St. John ni certification...
  4. N

    Mtihani wa IELTS pale british council.

    Afadhali ujulishe watu! Wakiulizwa walete results za IELTS waanze kuleta vya St. John itakuwa noma na aibu juu yake. Watu walio na experience it's always good to educate your counterparts. Na nyie mkiwa mnaelezwa ACHENI UBISHI! ni katika kusaidiana, ama?
  5. N

    Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

    Pole sana. Naweza kuelewa kwa nini ki psycholojia hii inakusumbua sana tena sana. Hata ingekuwa mtu mwingine yeyote mwenye roho ya nyama lazima ingekuwa issue. Sasa sababu umetuuliza tukusaidie na mawazo I want to also offer my two cents. Umeonyesha kuwa bila kumjulisha baba yako utakuwa...
  6. N

    BG Group hawapo fair kabisa

    It's not about completing the test. The whole reason is that they are looking at speed and accuracy but also your intelligence to jump the ones that you find tough and tackle the ones that are in your scope so as to raise your scores. Yaani hiyo ni kwa aptitude test ZOOOTEEEE duniani si hii tu...
  7. N

    Career Opportunities World Vision Tanzania-192 Positions:

    Piga simu WVT uwaulize mwenyewe. Usichukulie tu unayoambiwa mtandaoni.
  8. N

    kebby hotel wameniita kwa interview thank god ushauri wa bure kwa mnaotafuta kazi

    Well done for being called for an interview. On another note, ukiandika neno God au Mungu kwa heshime huwa ni vizuri uandike herufi ya kwanza na capital letter, as in God, not god. god with lowercase kwa kawaida inatumika kwa miungu. Nakutakia mema yooote kwenye interview. Utujulishe basi habari...
  9. N

    Nafasi kumi za kazi bandari, apply online

    Tafadhali angalia online application app yenu. Watu wengi wamejaribu na kupata error messages tu.
  10. N

    Assist Please!!! Posta wizi balaa... imekuwa too much!

    :-) UPDATE - I received the goods safe and sound! Nadhani waliona huyu dada kasheshe always mme wangu alikuwa pale posta. Imebidi tu wakubali! Amen. Thanks for the sound advise.
  11. N

    Assist Please!!! Posta wizi balaa... imekuwa too much!

    Asante, nitawajaribu na wao. Ila Posta nime surrender!
  12. N

    Assist Please!!! Posta wizi balaa... imekuwa too much!

    Get a life! Almost every word has an acronym that could point to other view points. What matters is what your understanding of it is. so YOU BE CAREFUL and got over the conspiracy theories!
  13. N

    Assist Please!!! Posta wizi balaa... imekuwa too much!

    LOL! At least though umenichekesha! Laughter is the best medicine :smile-big:
  14. N

    Assist Please!!! Posta wizi balaa... imekuwa too much!

    Kwa sasa hii ni mara ya tatu ya mzigo wangu kutoka nje kupotea posta kwa hali tatanishi. Nilianza kutumia posta miaka kama minne iliyopita na mizigo haikuwahi kupotea. Ila kama miezi minane iliyopita kuna mambo very strange happening. Niliwahi kusikia watu kupoteza mizigo ambayo haina tracking...
  15. N

    Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

    Pole sana, inauma sana kumpoteza mwenzi wako. Ila be very careful. Huu si muda wa ku rush into making decisions. You could find you have made a wrong decision which is hard to reverse. Ninaamini ulimuomba dada aishi na wewe na kutunza mwanao sababu ulikuwa na imani naye. Tafadhali kaeni vizuri...
  16. N

    PPF na NSSF

    It depends on your goals, long term vs. short term but customer service is better at PPF. I have had an experience with both and although NSSF has good benefits their customer service is so so SO poor it's enough to push you to the other pension funds. Last week I went to PPF and received...
  17. N

    Please help me on how to write a cover Letter

    I hope this example will help in the future. You can address in the traditional way of addressing letters or spruce it up a bit depending on where you are applying. FOr government be sure to address in the traditional way. Good luck
  18. N

    Nimekata tamaa

    My goodness, only 4 months and 20 applications!?!? you're mad! There was a time I was out of work for more than that and I had sent more than 250 applications in and out of the country! Ukizingatia kisomo changu ni cha juu. Mungu hawezi kusaidia ambao wanakata tamaa. Haya basi umekata tamaa...
  19. N

    Ninatafuta nafasi ya kazi ihusianayo na sheria au huduma za kisheria(kuanzia mwezi August 2011)

    TSK TSK TSK...and I mean TSK TSK TSK..... Ni ukweli au alikuwa anafanya jokes kutuchekesha? Kama ni kweli ninajitolea kukurekebishia hiyo CV isimame, ila wewe lazima uni prokies kuwa utaenda kwenye kile chuo cha kufundisha Kiingereza for two months ili ufanye brush up kwenye language skills...
  20. N

    Msaada juu ya maombi ya kazi

    If you send a hand written application letter to my office it will not even pass the first stage, please believe! Unless mwajiri amekuambia explicitly kuwa barua iwe hand written usifanye hiyo mistake. Waajiri wengi wanapenda typed letters for many reasons including they are easier to decipher...
Back
Top Bottom