Search results

  1. M

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Inasikitisha sana kuona kiongozi wa kitaifa kama wewe , unashindwa kujieleza na badala yake kwa makusudi yasiyo na tija yeyote unajaribu kuhadaa magwiji. Kama uanachama wa mwana ccm unakoma mara moja pale mtu anapo hamia chama kingine iweje ninyi ccm muendelee kuwahesabu kama wanachama wenu kwa...
  2. M

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    leo nimemsikia akiongea clouds kwamba yeye in mwalimu wa siku nyingi , japo inaonesha kwa kweli lugha hii ya kiingereza bado hajaimudu. CV yake haioneshi kama amewahi kusomea ualimu zaidi ya secondary na hiyo open university . hawezi kuwa mwalimu mzuri . Hivyo anawakilisha kundi la wanafunzi...
  3. M

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Bwana chama umefika wakati ufungue macho yako ya ndani uone ukweli na kuusemea, mawazo yaliyo tolewa na Bw Mohamed ni yakini. Fursa za watanzania wote kusoma bila kujali dini , kabila na rangi imekuwepo mara baada ya uhuru wa nchi hii . Huo mfumu kandamizi ni upi?
  4. M

    Imenilazimu nipitie tena CV ya MULUGO

    kazi anatakiwa kuifanya anaye ijua na si vinginevyo , kwa mwendo huu wa ku unga unga yaelekea anatumia muda mwingi sana kuelewa hivyo kuchelewesha maamuzi ama kutochukua kabisa.
  5. M

    UAMSHO Kuwa Chama cha Siasa

    Uamsho kimesajiliwa kwa ajili ya mihadhara ya kiislam, siiyoni mantiki itakayo tumika kuisajili kama chama cha siasa kwa kutumia sheria zilizopo kwa sasa. Hawa nawaona ya kuwa ni wasumbufu tu, wanafanya mambo kwa kuiga ama wanatumiwa.
  6. M

    Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii??

    kuigawa nchi kwenye majimbo siyo kitu kilichokopiwa pahala, hii ilikuwapo tangu awali kama unaijua historia ya nchi hii palikuwa na majimbo nane, pia vyama vingi siyo vigeni kwenye nchi hii. Na kama u mwangalifu na mfuatiaji makini utagundua kwamba cdm inatoa sera na chama chako inazifuata...
  7. M

    Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    :blabla:waweza kulist hizo haki wanazo pigania hao ndugu? adui yenu ni nani?
Back
Top Bottom