Search results

  1. R

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    i am in kaka ahsante kwa upendo wako na kwa kutujali mafatilia
  2. R

    Ungefanyeje kuwatambua hawa watoto wa 3 wa MCHAGA, MGOGO na MHAYA)

    ungefafanua huyo wa kihaya alikuwa wa kike au kiume maana kama wa kiume alafu apanue miguu ni tabu sana baadae alitakiwa akojoe tehetehe
  3. R

    Natafuta gari land cruiser hard top station wagon

    pick up au na kama uko serious give me ua number biashara
  4. R

    General Tyre [EA] Ltd kuanza uzalishaji mwaka 2013

    kuna wafanyakazi walioitumikia GT na waliondoka bila kitu na wapo mpaka sasa mitaani vipi hawa pamoja naujuzi wao hawatapewa kipaumbele kwa sababu ifahamike tokea ife hamna kiwanda kingine cha kutengeneza tairi kimekuwepo useme walipata ajira huko hao nao mnawazungumziaje kwa sababu sasa ivi...
  5. R

    Yombo KKKT hali si shwari

    ni kweli pia siyo yombo dovya ni kkkt yombo kuu wamemuumiza na mlinzi sasa ina maanisha nimakanisa mawili tayari yameguswa pamoja na hilo la faraja
  6. R

    Yombo KKKT hali si shwari

    kwa taarifa yako MUNGU anastaili sifa zote na ndo maana tunamuimbia nyimbo za kumsifu kumshukuru na kumuabudu we unataka aimbiwe nani
  7. R

    Yombo KKKT hali si shwari

    ni kanisa linaitwa faraja wamekimbia wamechoma madhabau
  8. R

    Yombo KKKT hali si shwari

    nimepiga simu mbili tatu kwa sababu ndo kanisa nalosali naona sio hapo ila naambiwa ni kanisa la assemblies lililopo karibu na petrol station ya njia panda ndo kuna vurugu imetokea nazidi fatilia nitakufahamisheni
Back
Top Bottom