WANAOMSEMA MAGUFULI HOVYO WENGI WAO WALIKUA WAPIGA DILI,ALIPOZUIA DILI ZAO ZA KIPUUZI HASA DAWA ZA KULEVYA NDO KINACHOFANYA WAMTUSI. LKN MAMILION YA WATANZANIA TUTAZIENZI MAISHA YOTE HARAKATI ZAKE KTK KUIJENGA TANZANIA
Hili ndo tatizo LA chadema,wana vijana bright mtaani ambao hawana hata nafasi moja ndani chama ambao wanasifa zakua wajumbe wakamati kuu.Uraisi mtausikia redioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae CHADEMA yameguka vipande viwili kuelekea uchaguzi has a nafasi ya mwenyekiti Taifa.
Kumetokea makundi Mawili hasimu moja linajiita Tano tena ambalo inadaiwa linaongozwa na vijana watiifu wa Mbowe na walionufaika na Chama na kundi LA pili nikundi LA vijana ambalo linahitaji mabadiriko ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa kupitia kamati kuu kwa sauti moja walikubaliana kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu.
Lakini cha ajabu ni kwamba Wilaya ya Mkoa wa Mbeya wamekaidi maagizo ya Mwenyekiti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.