Search results

  1. I

    Walimu wapya Tubadilishane

    Mwalimu Wa Grade A III. anaye taka kuja Arusha aliyepata Ajira mpya au wale wazamani aliyepangiwa Mkoa wa Kilimanjaro. Au Arusha wilaya ya Meru au Arusha V awasiliane ili Aje Arusha mimi Niende Kilimanjaro Au wilaya Ya Meru. 0755883313
  2. I

    Tusipo angalia tutafika pabaya

    kumekuwa na wimbi la vijana wanaopenda kukimbilia kwenye fani fulani fulani kwa lengo la kujipatia maslahi kwa kuwa kazi hizo zina maslahi zaidi, hili ni jambo jema! Tatizo ni kwamba, sababu serikali inashindwa kudhibiti usawa na uwiano mzuri kimaslai /mishahara kwa fani mbalimbali. Mfano, ni...
  3. I

    second post

    jee kwa mtu ambaye tayari ni mfanyakazi serikalini anapomaliza kujiendeleza akiomba kazi tena serikalini atapata kama new post?
  4. I

    Mwalimu

    Hi! Wanajamii, nadhani wapo walimu wanaotaka kuhamia mko wa ARUSHA. Walimu kutoka mkoa wa Kilimanjaro Tanga na Morogoro tuwasiliane 0755883313
Back
Top Bottom