Search results

  1. K

    Msaada: Mwanangu akicheka anapata kwikwi

    1.Mpe fundo la maji, ikishindikana 2.Chukua mfuko wa karatasi mvalishe kichwani uvunike uso wote hadi shingoni umuache apumue humo kama dk 1-2 halafu mfunue basi kwiki itaaacha, hii ni hatari kidogo unatakiwa usimamie ili asije akashindwa kupumua ukiona kunatokea hali kama ya kushindwa kupumua...
  2. K

    Panya wetu wanaoweza kugundua ugonjwa wa Kifua Kikuu watangazwa Kimataifa!

    The hero rats of Africa sniff out land mines — and TB infections An APOPO rat trains in Morogoro, Tanzania. (Photo: APOPO) MOROGORO, Tanzania — The grass is still damp with dew as the sun begins to glint over the Uluguru Mountains. It’s only 7 a.m. in Morogoro, Tanzania, but Oprah and Malala...
  3. K

    Car4Sale Toyota Noah old model

    sipo sehemu gari ilipo ndiyo maana nimemueleza mleta bandiko aione akipendezwa nayo Tufanye Biashara.
  4. K

    Nyumba inauzwa Kigamboni kisota 3.5km kutoka Darajani.

    Vipi umefikisha ofa ya kusudio la manunuzi na jibu gani umepewa?
  5. K

    Car4Sale Toyota Noah old model

    mimi ninayo ipo Dar nipe namba ya simu tupange uje uione ndiyo tufanye biashara.
  6. K

    Nyumba inauzwa Kigamboni kisota 3.5km kutoka Darajani.

    Wewe si umeweka tangazo ndugu yangu nami nimeweka ofa yangu ya manunuzi.
  7. K

    Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

    Ikulu ndogo wakati ilikuwa hata urais hata hajaukwaa na ilikuwa nyumbani kwake Mh. Rais au Waziri kwa wakati huo.
  8. K

    Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

    Hivi hapa kweli ndiyo pale alipokaribishwa Mheshimiwa Raila wakati anamtembelea Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli?
  9. K

    Wanafamilia wa JF mliopo Dar nipokeeni nakuja huko kwa matibabu

    Habari yako ndungu yangu, Kwanza pole sana na kuumwa! Ni PM mimi nitakusaidia kwa hili la pa kufikia na kama utaweza vumilia mazingira ninayoishi baada ya kukufahamisha hali halisi ya nyumbani baada ya mafuriko kutekeleza fenicha zote, hata la kuelekezwa hospitali unayotaka kwenda hilo nalo...
  10. K

    Toyota premio new model mwaka 2006.

    Hii nchi yetu kweli tunatawaliwa, hivi ni kwanini kodi ya gari inazidi zaidi ya asilimia 100 ya bei ya manunuzi na wananchi tunaona sawa tu.Ninakumbuka machungu nilinunua Noah nimelipishwa maradufu ya bei niliyonunulia kwa uchungu nimelifungia linaelekea mwaka wa pili sasa.Nimeshikwa na butwaa...
  11. K

    Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

    vipi ulishamueleza na nini muitikio wake baada ya kumueleza?
  12. K

    Ushauri: Mimba ya msichana wa kazi haijulikani ni ya wapi

    vipi ulishafanya mawasiliano na mtoa mada na ulishamchukua?
  13. K

    Ushauri: Mimba ya msichana wa kazi haijulikani ni ya wapi

    Kwanza kabisa wafahamishe wazazi wake. Kuna mdau hapa ameshajitolea kumchukua .Tafadhali sana mpeleke huko akapate msaada.Tafadhali Punguza lugha kali inakupa taswira ya ukatili kwa baadhi ya wadau.Huu ni ushauri nakupa tu.
  14. K

    Natamani kupenda tena

    Sawa Dada yangu,Rudi uziguani utampata wa tarajio lako.Nakutakia Kila La Kheri!
  15. K

    Natamani kupenda tena

    Mzigua90 said: ↑ Eti jamanii.. labda anataka niolewe na mtu alofiwa na mke wa miaka 60 huko
  16. K

    Natamani kupenda tena

    Sasa wa miaka 60 unawanyanyapaa?
  17. K

    Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA

    Wewe endelea kupiga baraza hapa ninatoka na fedha nikiwa marekani kila nikisafiri na ni zaidi ya kiwango hicho na unawaambia nina fedha kiasi gani na hakuna cha kujaza form wala nini,na bongo pamoja na unyang'au wao hamna anayekujua una fedha wao wanakimbilia kuangalia mizigo. hili...
Back
Top Bottom